-
Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu
Apr 04, 2019 02:35Bunge la Australia limepiga kura kwa kishindo kupasisha hoja ya kumlaani na kumkosoa Seneta mwenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia, kutokana na matamshi yake ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu baada ya shambulizi la kigaidi la mwezi uliopita nchini New Zealand.
-
Kansela wa Austria: Gaidi aliyeua Waislamu New Zealand alikuwa na uhusiano wa kifedha na wenye kuuchukia Uislamu wa Austria
Mar 28, 2019 04:46Kansela wa Austria, Sebastian Kurz amethibitisha kuwepo mahusiano ya kifedha kati ya gaidi aliyehusika na shambulizi la kigaidi dhidi ya Waislamu nchini New Zealand pamoja na kundi la mrengo wa kulia lenye kuchupa mipaka la 'Harakati ya Kupiga Vita Wahamiaji' nchini humo.
-
Mataifa mbalimbali yatuma salamu za pole na rambirambi kufuatia janga la mafuriko Iran
Mar 26, 2019 03:08Kufuatia mafuriko yaliyoikumba mikoa kadhaa ya Iran na kupelekea kwa akali watu 19 kufariki dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa, balozi za nchi mbalimbali hapa Tehran zimetoa mkono wa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao walioaga dunia katika maafa haya ya mafuriko.
-
Rais wa Austria: Ulaya isikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump kuhusu Iran
Mar 19, 2019 15:55Rais Alexander Van der Bellen wa Austria amelaani hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran yaliyofikiwa mwaka 2015 na vitisho alivyotoa vya kuyawekea vikwazo mashirika na makampuni yanayofanya biashara na Tehran, na kusisitiza kuwa nchi za Ulaya zisikubali kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na Trump.
-
Waustria waandamana kupinga sera za kibaguzi dhidi ya Uislamu
Mar 18, 2019 01:17Maelfu ya wakazi wa mji mkuu wa Austria, Vienna wamefanya maandamano wakipinga sera na siasa za mrengo wa kulia wenye misimamo ya kufurutu mipaka, za kibaguzi na dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
-
Ijumaa tarehe 26 Oktoba, 2018
Oct 26, 2018 02:36Leo ni Ijumaa tarehe 16 Safar 1440 Hijria sawa na Oktoba 26, mwaka 2018.
-
Ijumaa, Agosti 10, 2018
Aug 10, 2018 02:23Leo ni Ijumaa tarehe 27 Mfunguo Pili Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Agosti 10, 2018 Milaadia.
-
Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA
Jul 29, 2018 07:26Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei mwaka huu, hatua ambayo ilichukuliwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kulifuatiwa na ukosoaji mkubwa wa nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 zikiwemo nchi tatu za Troika ya Ulaya za Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Ijumaa tarehe 27 Julai 2018
Jul 27, 2018 02:25Leo ni Ijumaa tarehe 13 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 27, 2018.
-
Rais Rouhani: JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu
Jul 04, 2018 13:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu kwa ujumla.