-
Rouhani: Njama za Marekani za kutaka kutengwa Iran zitagonga mwamba
Jul 04, 2018 07:37Rais Hassan Rouhani amesema njama mpya za Washington za kutaka kutengwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zitakuwa na gharama kubwa kwa Wamarekani na kusisitiza kuwa taifa la Iran litasimama kidete zaidi mkabala wa njama hizo.
-
Safari ya Rais Rouhani Uswisi na Austria kwa malengo muhimu ya uhusiano wa pande mbili na kimatiafa
Jul 03, 2018 07:19Rais Hassan Rouani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu alianza safari ya kuzitembelea Uswisi na Austria kufuatia mwaliko wa viongozi wa wa nchi hizo mbili za Ulaya. Rais Rouhani anaongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi katika safari hiyo
-
Rais wa Iran aelekea Uswisi na Austria kwa ziara rasmi
Jul 02, 2018 02:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaanza safari rasmi ya kuzitembelea nchi za Uswisi na Austria kufuatia mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hizo mbili za bara Ulaya.
-
Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini
Jun 11, 2018 07:16Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu vyaongezeka sana Austria
Apr 26, 2018 15:33Kituo cha nyaraka na ushauri kuhusu masuala ya Waislamu nchini Austria kimetangaza habari ya kuongezeka sana vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu barani Ulaya.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 33 na sauti
Apr 03, 2018 13:55Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 33 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 31 na sauti
Apr 03, 2018 13:15Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 31 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Iran yataka uchunguzi kuhusu jaribio la kushambulia nyumba ya balozi wake Vienna
Mar 12, 2018 14:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaka uchunguzi wa haraka ufanyike kuhusu jaribio la kutekeleza hujuma kwa kutumia kisu katika makao ya balozi wake mjini Vienna, Austria.
-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 05:03Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.
-
Alkhamisi 26 Oktoba, 2017
Oct 26, 2017 05:00Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Safar 1439 Hijria sawa na Oktoba 26, 2017.