-
Marufuku ya burqa yaanza kutekelezwa nchini Austria
Oct 01, 2017 15:21Serikali ya Austria imeanza kutekeleza rasmi marufuku ya wanawake Waislamu kuvaa hijabu inayofunika uso wote maarufu kama burqa au niqabu katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
Rais Rouhani ataka serikali ya Myanmar isitishe mauaji ya kimbari ya Waislamu
Sep 19, 2017 16:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Myanmar ni ya kusikitisha huku akisisitiza udharura wa kuishinikiza serikali ya Myanmar ili isitishe mauaji ya kimbari na ukandamizaji dhidi ya Waislamu Warohingya.
-
Alkhamisi 10 Agosti, 2017
Aug 10, 2017 04:23Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Mfunguo Pili Dhilqaada 1438 Hijria sawa na tarehe 10 Agosti 2017.
-
Alkhamisi, 13 Aprili, 2017
Apr 13, 2017 03:20Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Rajab 1438 Hijria, sawa na Aprili 13, 2017.
-
Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria
Feb 01, 2017 04:21Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunuka uso wote, yaani niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
Waislamu wa Austria walalamikia mpango wa kuwazuia kuvaa Hijabu
Jan 07, 2017 15:57Waislamu wa nchi Austria wamelalamikia vikali mpango wa kuwapiga marufuku kuvaa vazi la staha la Hijabu katika maeneo ya kazi za umma.
-
Austria kupiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa hijabu
Jan 07, 2017 07:21Waziri wa Mambo ya Nje na Utangamano wa Austria ametoa wito wa kupigwa marufuku vazi la stara la hijabu linalovaliwa na wanawake Waislamu katika maeneo ya umma nchini humo.
-
Jumanne, tarehe Mosi Novemba, 2016
Nov 01, 2016 02:48Leo ni Jumanne tarehe Mosi Safar 1438 Hijria sawa na tarehe Mosi Novemba 2016.
-
Jumatano, 26 Oktoba, 2016
Oct 26, 2016 06:07Leo Jumatano tarehe 24 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 26, 2016.
-
Kuahirishwa safari ya Rais wa Iran nchini Austria
Mar 30, 2016 06:12Imeelezwa kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itafanyika katika muda muafaka kufuatia kufikiwa makubaliano kati ya pande mbili na ili kuwezesha kufanyika uratibu zaidi.