-
Ijumaa, tarehe 14 Februari, 2025
Feb 14, 2025 03:22Ijumaa tarehe 15 Shaaban 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 Februari 2025.
-
Abbas Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2024 07:20Abbas Araghchi, Waziri Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ikiwa mmoja wa wahanga wakuu wa vikwazo vya Marekani, inaelewa kikamilifu hali ya watu wa Cuba, hivyo inaiunga mkono nchi hiyo dhidi ya vikwazo vya nchi hiyo ya Magharibi.
-
Jumanne, Agosti 13, mwaka 2024
Aug 13, 2024 02:33Leo ni Jumanne tarehe 8 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria sawa na tarehe 13 Agosti 2024.
-
Jumamosi, 11 Mei, 2024
May 11, 2024 04:09Leo ni Jumamosi tarehe Pili Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1445 Hijria mwafaka na tarehe 11 Mei 2024 Miladia.
-
Rais wa Syria: Mshikamano wa nchi za Kiarabu unapelekea kupatikana utulivu katika eneo
Apr 29, 2024 03:06Rais wa Syria amesema kuwa kuwepo mshikamamo baina ya nchi za Kiarabu na kutekeleza hatua za pamoja kutapelekea kupatikana amani na uthabiti katika eneo.
-
'Washauri wa kijeshi' wa Imarati, Bahrain wauawa na al-Shabaab Somalia
Feb 12, 2024 04:38Kwa akali wakufunzi watano wa kijeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain wameuawa katika shambulizi linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Sheikh Issa Qassim: Kushiriki Bahrain katika muungano wa baharini wa Marekani dhidi ya Yemen ni "aibu"
Jan 15, 2024 13:49Sheikh Issa Qassim Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain ameitaja hatua ya Manama ya kushiriki katika muungano wa baharini unaoongozwa na Marekani katika Bahari ya Sham dhidi ya Yemen kuwa ni kitendo kibaya, chenye kutia uchungu na cha fedheha.
-
Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US
Dec 23, 2023 02:27Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain cha al-Wefaq kimesema hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu ni kusaliti kadhia ya Palestina.
-
Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel
Nov 08, 2023 02:59Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa la Bahrain amesema Wabunge wa nchi hiyo wanakishinikiza chombo hicho cha kutunga sheria kubatilisha uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bahrain yasitisha uhusiano wa kibiashara na Israel, yamrejesha nyumbani balozi wake
Nov 03, 2023 08:04Bunge la Bahrain limetangaza kuwa, limesitisha uhusiano wa kiuchumi na utawaa wa Kizayuni wa Israel na kuwaondoa mabalozi wake kutokana na kuendelea mashambulio ya jeshi la Israel dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.