Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Mfalme wa Bahrain ataka  nchi za Kiarabu ziache kususia Israel

    Mfalme wa Bahrain ataka nchi za Kiarabu ziache kususia Israel

    Sep 18, 2017 14:05

    Mfalme Hamad bin Isa Aal Khalifa wa Bahrain amezitaka nchi za Kiarabu kuacha kuusussia utawala haramu wa Israeli.

  • Hatua kandamizi za usalama zashadidishwa Bahrain sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram

    Hatua kandamizi za usalama zashadidishwa Bahrain sambamba na kukaribia mwezi wa Muharram

    Sep 12, 2017 07:51

    Utawala wa Aal Khalifa umeweka sheria kali za usalama nchini Bahrain sambamba na kukaribia mwezi mtukufu wa Muharram.

  • Amnesty International yalaani ukiukwaji haki za binadamu nchini Bahrain

    Amnesty International yalaani ukiukwaji haki za binadamu nchini Bahrain

    Sep 07, 2017 07:49

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Bahrain si tu kuwa hautekelezi ahadi zake kuhusu kulinda haki za binadamu bali pia uanendelea kutumia mkono wa chuma kukandamiza maandamano ya amani ya wanaotaka mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

  • Mzingiro wa eneo la Ad-Diraz watimiza siku 100 tangu Sheikh Isa Qassim awekwe kizuizini Bahrain

    Mzingiro wa eneo la Ad-Diraz watimiza siku 100 tangu Sheikh Isa Qassim awekwe kizuizini Bahrain

    Sep 02, 2017 14:47

    Mzingiro uliowekwa na askari wa utawala wa Aal Khalifa katika eneo la Ad-Diraz yalipo makaazi ya Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain umetimiza siku mia moja.

  • Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa

    Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa

    Sep 01, 2017 15:03

    Vikosi vya usalama nchini Bahrain leo vimewazuia tena Waislamu wa eneo la Diraz kusali Sala ya Ijumaa.

  • Qassemi: Bahrain iachane na njama za kupotosha watu kuhusiana na malalamiko ya wananchi

    Qassemi: Bahrain iachane na njama za kupotosha watu kuhusiana na malalamiko ya wananchi

    Aug 26, 2017 03:54

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai mapya ya utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain dhidi ya Iran na kuwataka viongozi wa nchi hiyo ya Kifalme waachane na njama za kuwapotosha watu kuhusiana na malalamiko ya wananchi wa nchi hiyo.

  • Vyumba vya mauti nchini Bahrain na kushadidi uteswaji wa wapinzani

    Vyumba vya mauti nchini Bahrain na kushadidi uteswaji wa wapinzani

    Aug 24, 2017 02:33

    Makundi matatu ya haki za binaadamu ya 'Taasisi ya Haki ya Kidemokrasia na Haki za Binadamu' 'Jumuiya ya Haki za Binaadamu nchini Bahrain' na 'Amani kwa ajili ya Demokrasia na Haki za Binaadamu' yametoa ripoti na kusema kuwa, utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa umekuwa kila mara ukikandamiza maandamano ya amani ya wananchi na kuwatesa wapinzani.

  • Utawala wa Aal Khalifa wachukua hatua kali zaidi za kiusalama kuzunguka nyumba ya Sheikh Isa Qassim

    Utawala wa Aal Khalifa wachukua hatua kali zaidi za kiusalama kuzunguka nyumba ya Sheikh Isa Qassim

    Aug 23, 2017 07:41

    Vikosi vya usalama vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain vimeendeleza ushadidishaji wa mzingiro wa kijeshi dhidi ya nyumba ya kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim kwa kuweka vizuizi vya matofali kandokando ya nyumba yake.

  • Jumatatu 14 Agosti, 2017

    Jumatatu 14 Agosti, 2017

    Aug 14, 2017 03:31

    Leo ni Jumatatu tarehe 21 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 mwezi Agosti mwaka 2017.

  • Bahrain yaendelea kuwatia mbaroni wanaharakati wa kisiasa wakiwamo wanawake

    Bahrain yaendelea kuwatia mbaroni wanaharakati wa kisiasa wakiwamo wanawake

    Aug 09, 2017 02:37

    Mkuu wa Taasisi ya Kisheria na Demokrasia (BIRD) nchini Bahrain, Ahmad al Wadai ametangaza kuwa, utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa umemhamishia jela Zainab Marhun mwanaharakati wa kisiasa wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS