-
Jumatatu 14 Agosti, 2017
Aug 13, 2017 23:01Leo ni Jumatatu tarehe 21 Dhulqaada 1438 Hijria inayosadifiana na tarehe 14 mwezi Agosti mwaka 2017.
-
Bahrain yaendelea kuwatia mbaroni wanaharakati wa kisiasa wakiwamo wanawake
Aug 08, 2017 22:07Mkuu wa Taasisi ya Kisheria na Demokrasia (BIRD) nchini Bahrain, Ahmad al Wadai ametangaza kuwa, utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa umemhamishia jela Zainab Marhun mwanaharakati wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kutangazwa eneo lililopigwa marufuku mahali yalipo makaazi ya kiongozi wa Mashia Bahrain
Aug 05, 2017 02:21Katika hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa, utawala Aal Khalifa nchini Bahrain umeitangaza sehemu ya Ad-Darz, mahali yalipo makaazi ya kiongozi wa Waislamu wa Kishia Sheikh Isa Qassim kuwa ni eneo lililopigwa marufuku kuingia na kutoka.
-
Nchi nne za Kiarabu zang'ang'ania msimamo wao wa kuendeleza vikwazo dhidi ya Qatar
Jul 30, 2017 23:57Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu zilizovunja uhusiano wa kidiplomasia na Qatar na kuiwekea vikwazo nchi hiyo wametoa taarifa wakitilia mkazo misimamo ya hapo kabla ya nchi hizo na kuendelezwa vikwazo dhidi ya Doha.
-
Iran: Kama si juhudi za Hizbullah, genge la Daesh lingekuwa limezitwaa nchi za Kiarabu
Jul 19, 2017 09:43Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, lau kama si msaada wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, katika kupambana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria, basi kundi hilo lingekuwa linapeperusha bendera zake katika nchi za Kiarabu.
-
Kuendelea kushikiliwa wanaharakati wa kisiasa nchini Bahrain
Jul 11, 2017 23:32Katika mwendelezo wa kuwakandamiza wapinzani nchini Bahrain, mahakama ya nchi hiyo imetoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela dhidi ya Nabil Rajab, Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu nchini Bahrain kwa tuhuma za kueneza habari za uongo na uvumi kuhusiana na hali ya ndani ya nchi hiyo.
-
Mgomo wa kula wa wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain
Jul 06, 2017 23:17Wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain wanaoshikiliwa katika jela za kutisha za al Jau na al Hawd al Jaf nchini humo wameamua kuanzisha mgomo wa kutokula chochote ikiwa ni kulalamikia dhulma wanayofanyiwa na watawala madikteta wa nchi hiyo.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain
Jul 01, 2017 23:45Kamati ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya Kupinga Ukandamizaji imetangaza katika ripoti yake kuwa, wapinzani nchini Bahrain wanaendelea kufanyiwa ukandamizaji mateso makubwa.
-
Wafungwa wa Bahrain katika jela ya Jaw wapaza sauti wakiomba msaada
Jul 01, 2017 03:18Wafungwa waliopo katika jela ya Jaw nchini Bahrain wamewaomba raia wa nchi hiyo wawanusuru na dhulma na mateso wanaofanyiwa na watawala wa Aal Khalifa kufuatia siasa za ukandamizaji zinazotekelezwa kila uchao na utawala wa Bahrain.
-
Ukiukwaji haki za binadamu Bahrain sasa walalamikiwa Ulaya
Jun 15, 2017 23:52Kutokana na kuendelea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa kiimla wa Aal Khalifa nchini Bahrain, Bunge la Ulaya sasa limevunja kimya chake na kulalamikia hatua hiyo.