-
Utawala wa Bahrain waahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, wahofia machafuko
May 07, 2017 09:57Kwa mara nyingine tena na kama ilivyotarajiwa, utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Sheikh Isa Qassim, Kiongozi wa ngazi ya juu wa kidini nchini Bahrain kutokana na hofu ya kushindwa kudhibiti hali ya mambo nchini ikiwa utatoa hukumu dhidi yake.
-
Wabahrain waandamana nchi nzima huku kesi ya Sheikh Qassim ikiskizwa leo
May 07, 2017 03:04Wananchi wa Bahrain wamejitokeza mabarabarani kushiriki maandamano ya nchi nzima leo Jumapili, siku ya kusikilizwa kesi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kesi ya Ayatollah Qassim ni mfano wa kukandamizwa Waislamu wa Kishia Bahrain
May 06, 2017 02:58Katibu Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Al Wifaq cha Bahrain Sheikh Ali Salman amesema kufikishwa kizimbani Ayatullah Sheikh Isa Qassim ni sawa na utawala wa Aal Khalifa kuwafikisha kizimbani na kuwalenga Waislamu wote wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain.
-
UN, US na EU zatakiwa kukomesha jinai za Bahrain dhidi ya Sheikh Qassim
May 05, 2017 09:12Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Bahrain na kimataifa yameziandikia barua Marekani, Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya yakizitaka ziishinikize serikali ya Manama kukomesha jinai zake dhidi ya Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa ngazi ya juu wa nchi hiyo ambaye alivuliwa uraia wa Bahrain Juni 20 mwaka jana 2016.
-
Umoja wa Mataifa na hali ya haki za binadamu nchini Bahrain
May 02, 2017 23:14Duru ya 27 ya kikao cha Umoja wa Mataifa kimeanza mjini Geneva kwa lengo la kuchunguza hali ya haki za binadamu nchini Bahrain.
-
Jinai za ukoo wa Kifalme Bahrain zazidi kulaaniwa
May 01, 2017 03:02Makundi ya haki za binadamu katika kona mbalimbali za dunia yamelaani jinai za ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa nchini Bahrain na kuutaka utawala huo kandamizi kuacha kuwanyanyasa wafungwa.
-
Utawala wa Bahrain waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa eneo la Diraz
Apr 29, 2017 03:13Askari wa utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa mwezi wa 10 mfululizo wamezuia Sala ya Ijumaa kusaliwa katika eneo la Diraz nchini humo.
-
HRW: Ni aibu kwa Uingereza, Marekani kunyamazia kimya ukiukwaji haki za binadamu Bahrain
Apr 28, 2017 10:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema, kimya cha Uingereza na Marekani mbele ya ukiukwaji haki za binadamu nchini Bahrain ni aibu.
-
Utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa waendelea kutumia silaha ya kuwavua uraia Wabahrain
Apr 24, 2017 10:33Mahakama Kuu ya Bahrain imewavua uraia vijana wawili wanaharakati wa nchi hiyo na kuwahukumu pia kifungo cha miaka kumi jela.
-
Utawala wa Aal Khalifa wawakea marufuku ya kusafiri wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain
Apr 23, 2017 22:25Katika kuendeleza ukandamizaji wake dhidi ya wananchi wa Bahrain, Utawala wa Aal KHalifa umewapiga marufuku kusafiri wanaharakati kadhaa wa kisiasa wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kuandamana katika eneo la al Deraz nchini humo.