-
Amnesty International yaanzisha kampeni ya kumuungamkono kiongozi wa upinzani Bahrain
Apr 14, 2017 03:46Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeanzisha kampeni ya umma inayoutaka utawala wa Bahrain kumuachia huru haraka na bila ya masharti Sheikh Ali Salman, mwanazuoni mashuhuri wa nchini humo.
-
Wananchi wa Bahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Apr 07, 2017 23:14Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Bahrain wamefanya maandamano jana kumuunga mkono na kuonyesha mshikamano wao kwa Sheikh Issa Qassim mwanazuoni mashuhuri wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Mfalme wa Bahrain aafiki kuhukumiwa raia katika mahakama za kijeshi
Apr 03, 2017 09:27Mfalme wa Bahrain leo Jumatatu amesaini sheria ya kuifanyia marekebisho katiba ili kuzipatia mamlaka mahakama za kijeshi za nchi hiyo kusikiliza kesi za raia wa kawaida nchini humo.
-
Chama cha Sinn Féin chataka Uingereza isiiuzie Saudia silaha
Apr 01, 2017 23:50Chama cha Sinn Féin cha Ireland Kaskazini nchini Uingereza kimetoa taarifa kikitaka serikali ya nchi hiyo isitishe mara moja uuzaji silaha kwa utawala wa Saudi Arabia.
-
Kuendelea ukandamizaji wa utawala wa Aal-Khalifa mwaka 2017 huko Bahrain
Mar 30, 2017 07:55Kutolewa hukumu ya adhabu ya kifo, unyang'aji wa uraia uliofanywa na mahakama na kadhalika kupiga marufuku vikao na majlisi za maombelezo kwa ajili ya vijana wanaouawa shahidi nchini Bahrain ni ishara ya kuendelea siasa za ukandamizaji za utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya raia wa nchi hiyo mwaka huu wa 2017.
-
Bahrain yamfunga miaka 10 jela mbunge wa zamani wa al-Wefaq
Mar 29, 2017 09:24Vyombo vya mahakama nchini Bahrain vimeendeleza wimbi la hukumu zake zisizo za kiadilifu dhidi ya wanaharakati na wakosoaji wa utawala wa Aal-Khalifa, baada ya kutoa hukumu ya vifo na kifungo jela kwa wanaharakati kadhaa.
-
Mtoto wa miaka 10 apandishwa kizimbani nchini Bahrain kwa tuhuma za uongo
Mar 27, 2017 23:24Vyombo vya usalama nchini Bahrain, vimempandisha kizimbani mtoto mdogo wa miaka 10 katika mahakama ya kimaonyesho na kwa tuhuma za uongo.
-
Wimbi la maandamano ya wananchi latanda nchini Bahrain dhidi ya utawala wa Aal-Khalifah
Mar 25, 2017 22:10Maeneo tofauti ya Bahrain yamekumbwa na wimbi la maandamano makubwa ya wananchi wanaopinga hukumu za adhabu ya kifo zilizotolewa na mahakama za kimaonyesho za nchi hiyo na kadhalika kutangaza uungaji mkono wao kwa Mustafa Hamdan, kijana aliyeuawa shahidi na askari wa utawala wa Aal-Khalifah.
-
Kuzidi kukandamizwa Wabahrain chini ya kivuli cha uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Aal Khalifa
Mar 22, 2017 23:52Ripoti kutoka Bahrain zinaeleza kuwa utawala wa Aal Khalifa umeshadidisha sera zake za ukandamizaji dhidi ya raia huku vikosi vya utawala huo vikiendeleza sera hizo kwa kuzidisha vitendo vya ukatili dhidi ya raia hao.
-
Amnesty yaitaka US ikome kuziuzia silaha Saudia na Bahrain
Mar 16, 2017 11:05Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Marekani iache kuziuzia silaha serikali za Saudi Arabia na Bahrain kutokana na nchi hizo kutumia silaha hizo kuvunja haki za raia.