-
UN yakosolewa kunyamazia kimya jinai za utawala wa Bahrain
Mar 16, 2017 03:50Umoja wa Mataifa umekosolewa vikali kwa kunyamazia kimya jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi wa Bahrain.
-
Harakati ya Al Wifaq Bahrain: Kesi ya Sheikh Issa Qassim ni ya kimadhehebu
Mar 16, 2017 00:32Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya Bahrain amesema kuwa, kesi iliyofunguliwa na utawala wa kifalme wa Aal Khalifa dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Kishia wa nchi hiyo ni sawa na kupandishwa kizimbani madhehebu nzima ya Kishia yenye watu wengi zaidi nchini humo.
-
Bahrain yaakhirisha tena hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim
Mar 14, 2017 11:24Kwa mara nyingine tena utawala wa Aal-Khalifa umeakhirisha kutolewa hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Bahrain hadi Mei 7 mwaka huu.
-
Maulamaa Bahrain wasema ni wadhifa wa kidini kumtetea Sheikh Issa Qassim
Mar 14, 2017 01:10Maulamaa wa Kiislamu nchini Bahrain wametoa taarifa na kusema, ni wadhifa wa kidini na kitaifa kumtetea Ayatullah Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa kimaanawi wa harakati wa mapinduzi ya wananchi.
-
HRW: Watu 133 wamepokonywa uraia nchini Bahrain mwaka jana 2016
Mar 12, 2017 03:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya raia wa Bahrain walivuliwa uraia na serikali mwaka uliopita 2016.
-
Wabahrain sasa kushtakiwa kwenye mahakama za kijeshi za utawala wa Aal Khalifa
Mar 06, 2017 00:29Bunge la Bahrain limepitisha mpango uliopendekezwa na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Al Khalifa wa kuifanyia marekebisho katiba kwa madhumuni ya kurahisisha kushtakiwa raia katika mahakama za kijeshi.
-
Maulamaa wa Bahrain wasisitiza kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Feb 26, 2017 04:36Maulamaa nchini Bahrain wametoa taarifa na kusisitiza udharura wa kumtetea na kumuunga mkono Ayatullah Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini humo anayekandamizwa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa.
-
Kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Palestina; ni ishara ya kudhoofika siasa za utawala wa Kizayuni katika eneo
Feb 22, 2017 04:38Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya al Wifaq ya Bahrain amesema kuwa kufanyika kwa mafanikio Mkutano wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina katika mji wa Tehran ni fursa kwa ajili ya kuonyesha udhaifu wa Marekani na utawala wa Kizayuni katika siasa zao za kichokozi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Amnesty International yatahadharisha kuhusu kushtadi ukandamizaji Bahrain
Feb 15, 2017 04:26Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limetahadharisha kuhusu kuendelea kukandamizwa kwa kiasi kikubwa raia huko Bahrain kunakofanywa na utawala wa Aal Khalifa.
-
Kushadidi anga ya ukandamizaji nchini Bahrain na njama za utawala wa Aal Khalifa
Feb 09, 2017 00:35Duru za haki za binadamu zimetangaza kuwa, Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imetupilia mbali ombi la kuangalia upya hukumu ya kukivunja Chama cha al-Wifaq na kuzuia mali zake zote.