Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Kushadidi anga ya ukandamizaji nchini Bahrain na njama za utawala wa Aal Khalifa

    Kushadidi anga ya ukandamizaji nchini Bahrain na njama za utawala wa Aal Khalifa

    Feb 09, 2017 00:35

    Duru za haki za binadamu zimetangaza kuwa, Mahakama ya Rufaa ya Bahrain imetupilia mbali ombi la kuangalia upya hukumu ya kukivunja Chama cha al-Wifaq na kuzuia mali zake zote.

  • Amnesty yaitaka Bahrain iache kuwanyonga wafungwa wa kisiasa

    Amnesty yaitaka Bahrain iache kuwanyonga wafungwa wa kisiasa

    Jan 20, 2017 04:06

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Bahrain inaelekea kutumbukia katika mgogoro wa haki za binaadamu na inapaswa kusitisha mara moja hukumu ya kunyongwa wafungwa wengine wawili wa kisiasa nchini huo.

  • UN: Kunyongwa vijana wa Bahrain ni dhulma

    UN: Kunyongwa vijana wa Bahrain ni dhulma

    Jan 18, 2017 23:24

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kitendo cha watawala wa Bahrain cha kuwanyonga vijana watatu wa nchi hiyo si cha kiuadilifu.

  • Utawala wa Bahrain wazidi kukosolewa kwa kuwanyonga wanaharakati

    Utawala wa Bahrain wazidi kukosolewa kwa kuwanyonga wanaharakati

    Jan 17, 2017 04:06

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amelaani hatua ya Bahrain ya kuwanyonga vijana watatu wanaharakati wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la mwaka 2014, huku akikosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya ukatili huo.

  • Kunyongwa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Kunyongwa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain

    Jan 16, 2017 04:19

    Utawala wa Ukoo wa Aal Khalifa jana Jumapili asubuhi uliwanyonga vijana watatu wapinzani pamoja na kuwa mashirika ya kutetea haki za binadmau yalikuwa yamemuandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa yakitaka vijana walionyongwa kuachiliwa huru mara moja.

  • Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima

    Iran yalaani mauaji ya wanaharakati Bahrain, upinzani waitisha maandamano nchi nzima

    Jan 16, 2017 00:22

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu wa nchi hiyo kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.

  • Umoja wa Mataifa walaani hatua ya Bahrain kuwanyonga wanaharakati

    Umoja wa Mataifa walaani hatua ya Bahrain kuwanyonga wanaharakati

    Jan 15, 2017 10:57

    Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain ya kuwanyonga wanaharakati watatu kwa madai bandia ya kuhusika na shambulizi la kigaidi la mwaka 2014.

  • Polisi Bahrain washambulia shule na kufyatulia wanafunzi mabomu

    Polisi Bahrain washambulia shule na kufyatulia wanafunzi mabomu

    Jan 12, 2017 00:16

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa vikali hatua ya maafisa usalama wa Aal-Khalifa nchini Bahrain kushambulia shule moja na kuwafyatulia wanafunzi mabomu ya kutoa machozi.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Isa Qassim

    Jan 06, 2017 04:44

    Maelfu ya wananchi wa Bahrain wameandamana kote katika ufalme huo kwa siku ya pili mfululizo wakipinga kukandamizwa mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim.

  • Wanazuoni wa Bahrain walaani mzingiro katika kijiji cha Diraz

    Wanazuoni wa Bahrain walaani mzingiro katika kijiji cha Diraz

    Jan 04, 2017 04:18

    Wanazuoni nchini Bahrain wamekosoa vikali na kutoa wito wa kuondolewa mzingiro dhidi ya kijiji cha Diraz, anakoishi msomi na mwanaharakati wa Kiislamu nchini humo Sheikh Isa Qassim.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS