Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain

    Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain

    Jan 04, 2017 00:27

    Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya mzingiro dhidi ya eneo la Diraz na ukandamizaji wanaofanyiwa wakazi wa eneo hilo kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.

  • Jela yavamiwa na watu wenye silaha Bahrain, wafungwa waachiwa huru

    Jela yavamiwa na watu wenye silaha Bahrain, wafungwa waachiwa huru

    Jan 01, 2017 13:06

    Watu waliokuwa na silaha wameivamia jela ya Jau nchini Bahrain na kumuua polisi mmoja na kuwatorosha wafungwa wa jela hiyo. Hayo yameelezwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain.

  • Bahrain yalaaniwa kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Bahrain yalaaniwa kwa kuanzisha uhusiano na Israel

    Dec 29, 2016 03:53

    Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu Bahrain aachiwa huru

    Mwanaharakati mashuhuri wa haki za binadamu Bahrain aachiwa huru

    Dec 28, 2016 11:02

    Nabil Rajab, mwanaharakati mtajika wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain ambaye amezuiliwa kwa miezi kadhaa na polisi ya nchi hiyo ameachiwa huru kufuatia mashinikizo ya ndani na nje ya nchi.

  • Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Maulamaa wa Bahrain walaani uhusiano wa nchi yao na Israel

    Dec 26, 2016 03:44

    Maulamaa nchini Bahrain wamelaani juhudi za utawala wa nchi hiyo za kuweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Wananchi wa Bahrain walaani kuhujumiwa nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Wananchi wa Bahrain walaani kuhujumiwa nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Dec 22, 2016 04:28

    Wananchi wa Bahrain wameandamana kote katika nchi hiyo kulaani hatua ya wanajeshi kuhujumu nyumba ya kiongozi maarufu wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Issa Qassim.

  • 'Uingereza ndiyo iliyoidhinisha hukumu ya kifungo jela dhidi ya Sheikh Ali Salman'

    'Uingereza ndiyo iliyoidhinisha hukumu ya kifungo jela dhidi ya Sheikh Ali Salman'

    Dec 13, 2016 13:09

    Muungano wa vijana wa Mapinduzi ya Februari 14 nchini Bahrain umefichua kuwa serikali ya Uingereza ndiyo iliyoidhinisha hukumu ya kifungo cha miaka tisa jela dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Kiislamu ya Al-Wifaq Sheikh Ali Salman.

  • Mahakama ya Bahrain yapasisha kifungo cha miaka 9 dhidi ya Sheikh Ali Salman

    Mahakama ya Bahrain yapasisha kifungo cha miaka 9 dhidi ya Sheikh Ali Salman

    Dec 12, 2016 10:22

    Mahakama ya Rufaa ya utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain imemhukumu kifungo cha miaka tisa jela Mkuu wa Taasisi kubwa zaidi ya kisiasa ya wapinzani nchi hiyo.

  • Wabahrain waandamana dhidi ya kesi ya Sh. Salman inayosikilizwa leo

    Wabahrain waandamana dhidi ya kesi ya Sh. Salman inayosikilizwa leo

    Dec 12, 2016 04:20

    Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano katika barabara za nchi hiyo usiku wa kuamkia leo kuulani utawala wa Aal-Khalifa wa nchi hiyo, ambapo hii leo mahakama ya nchi hiyo inatazamiwa kusikiliza kesi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wifaq, iliyopigwa marufuku na utawala huo.

  • Wabahrain waandamana dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza

    Wabahrain waandamana dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza

    Dec 08, 2016 04:43

    Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano kueleza ghadhabu zao dhidi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ambaye yuko nchini humo kushiriki mkutano wa kila mwaka wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS