Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa nchini Bahrain

    Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa nchini Bahrain

    Dec 02, 2016 12:09

    Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa wiki ya 25 mfululizo, umewazuia Waislamu kusali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq AS magharibi mwa mji mkuu Manama.

  • Wananchi wa Bahrain waandamana kulalamikia ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa

    Wananchi wa Bahrain waandamana kulalamikia ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa

    Nov 25, 2016 11:46

    Maelfu ya wananchi wa Bahrain wameandamana leo wakilalamikia ukandamizaji dhidi ya raia unaofanywa na utawala wa Aal khalifa.

  • Kuendelea ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini Bahrain na wasiwasi wa kimataifa

    Kuendelea ukandamizaji dhidi ya wapinzani nchini Bahrain na wasiwasi wa kimataifa

    Nov 24, 2016 11:55

    Ripoti mbalimbali kutoka nchini Bahrain zinaonyesha kuwa, utawala wa kifalme wa nchi hiyo umeendelea kutumia mbinu na miamala yake ya kipolisi dhidi ya wanaharakti wa kisiasa huku ukiendelea kuwatia mbaroni na kuwahukumu vifungo vya muda mrefu jela wapinzani hao kwa kuwabambikiza tuhuma mbalimbali.

  • Wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa Bahrain waivunjia heshima Qur'ani Tukufu

    Wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa Bahrain waivunjia heshima Qur'ani Tukufu

    Nov 18, 2016 10:53

    Wanajeshi wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, wamekivunjia heshima Kitabu cha Mwenyezi Mungu, kwa kukichanachana.

  • Kutolewa hukumu za vifungo vya jumla ya miaka 241 jela kwa wananchi wa Bahrain

    Kutolewa hukumu za vifungo vya jumla ya miaka 241 jela kwa wananchi wa Bahrain

    Nov 16, 2016 09:10

    Utawala wa Bahrain katika kipindi cha wiki moja tu umewahukumu raia 18 wa nchi hiyo vifungo vya jumla ya miaka 241 jela.

  • Wabahrain waandamana kutaka kuachiwa huru mwanaharakati

    Wabahrain waandamana kutaka kuachiwa huru mwanaharakati

    Nov 15, 2016 04:24

    Wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kushinikiza kuachiwa huru mwanaharakati mashuhuri ambaye alikamatwa na vyombo vya usalama vya Aal-Khalifa mwezi uliopita.

  • Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq

    Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq

    Oct 21, 2016 10:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasi wasi wake mkubwa baada ya vikosi vya utawala wa Bahrain kuvamia ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq na kusema hatua kama hizo dhidi ya wapinzani ni kosa la kistraitjia.

  • Al-Wefaq: Wabahrain wataendelea kuiunga mkono Palestina

    Al-Wefaq: Wabahrain wataendelea kuiunga mkono Palestina

    Oct 20, 2016 10:30

    Chama cha Kiislamu cha al-Wefaq cha Bahrain kimesema hakuna nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo na kusisitiza kuwa wananchi wa Bahrain wataendelea kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Polisi ya Bahrain yatumia mabomu ya kutoa machozi dhidi ya maandamano ya amani

    Polisi ya Bahrain yatumia mabomu ya kutoa machozi dhidi ya maandamano ya amani

    Oct 14, 2016 03:59

    Polisi ya utawala wa kidikteta nchini Bahrain imetumia mabomu ya kutoa machozi kuzuia maandamano ya amani.

  • Bahrain yawahujumu Mashia wanaoomboleza

    Bahrain yawahujumu Mashia wanaoomboleza

    Oct 08, 2016 10:44

    Kwa mara nyingine tena vyombo vya usalama vya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain vimewashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaojumuika katika sehemu mbali mbali kwa ajili ya marasimu ya Ashura.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS