-
Kushtadi chuki na ghadhabu za wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Oct 08, 2016 09:06Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kuwa mahakama moja ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha miaka miwili jela kwa maulamaa wawili wa nchi hiyo, Sheikh Fadhil Az-Zaky na Sheikh Muhammad Jawad.
-
Kushadidi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain katika mwezi wa Muharram
Oct 04, 2016 23:15Sambamba na kuwadia Mfunguo Nne Muharram, habari kutoka Bahrain zinasema kuwa, utawala wa Aal Khalifa umezidisha vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia na kuwabana katika shughuli zao kidini, hatua ambazo ni kinyume kabisa na sheria za kimataifa.
-
Wanazuoni Bahrain wakosoa ukandamizaji dhidi ya Mashia wanaomboleza
Oct 04, 2016 04:29Wanazuoni wakuu wa Kiislamu nchini Bahrain wamelaani ukandamizaji na dhulma zinazofanywa na watawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehenu ya Shia hususan wakati huu wanapofanya marasimu mbali mbali ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Utawala wa Bahrain waendeleza ukandamizaji dhidi ya raia
Sep 30, 2016 09:34Utawala wa kifalme wa Bahrain umeendelea na hatua zake za ukandamizaji dhidi ya raia wa nchi hiyo licha ya kuweko malalamiko na ukosoaji wa kimataifa dhidi ya hatua hizo ambazo zinakiuka uhuru wa raia.
-
Uingereza inahusika na utesaji wapinzani Bahrain
Sep 30, 2016 04:03Uingereza imetuhumiwa kuwa inahusika na utesaji wa wapinzani unaotekelezwa na utawala wa kiimla nchini Bahrain.
-
Maulamaa wa Bahrain watoa taarifa ya kumuunga mkono Sheikh Issa Qassim
Sep 26, 2016 10:47Maulamaa wa Bahrain leo wametoa taarifa yao katika siku ya kumi ya kukusanyika raia wa nchi hiyo mbele ya nyumba ya mwanazuoni huyo wa ngazi ya juu wa nchi hiyo.
-
Ban Ki-moon: Serikali ya Bahrain iboreshe hali ya mambo nchini humo
Sep 26, 2016 04:19Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Bahrain iboreshe suala la haki za binaadamu nchini humo.
-
Askari wa Bahrain washambulia wafuasi wa Sheikh Qassim
Sep 25, 2016 04:53Wanajeshi wa utawala wa kifalme Bahrain wametumia gesi ya kutoa machaozi kuwatawanya wafuasi wa Sheikh Issa Qassim waliokuwa wakiandamana wakitaka arejeshewe uraia wake.
-
Amnesty yailaani Bahrain kwa kuidhinisha marufuku ya al-Wefaq
Sep 23, 2016 10:36Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya mahakama ya Bahrain kudhinisha marufuku ya chama kikuu cha upinzani nchini humo, al-Wefaq.
-
Kesi ya Naibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu la Maulamaa wa Bahrain yaakhirishwa
Sep 22, 2016 00:47Mahakama ya Bahrain imeakhirisha kesi inayomkabili Naibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu la Maulamaa wa nchi hiyo.