-
Bahrain; uwanja wa malalamiko na upinzani dhidi ya utawala wa Aal Khalifa
Sep 12, 2016 11:08Katika siku za karibuni, maeneo mbalimbali ya Bahrain yamekuwa uwanja wa maandamano na mikusanyiko ya wananchi ya kupinga utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa na waungaji mkonio wake wakuu, yaani utawala wa Aal Saud.
-
Utiwaji mbaroni wa kidhalimu waongezeka Bahrain
Sep 11, 2016 22:00Kituo cha Haki za Binadamu cha nchini Bahrain kimebainisha wasiwasi wake kuhusu kuongezeka utiwaji mbaroni raia kidhulma nchini humo.
-
Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa
Sep 09, 2016 22:55Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
-
Wanafunzi na wanazuoni wa mji wa Qum waandamana kulaani ukandamizaji Bahrain
Sep 06, 2016 23:44Wanafunzi na wanazuoni wa vyuo vikuu vya kidini katika mji wa Qum, kusini mwa mji wa Tehran nchini hapa, wamefanya maandamano kulaani ukandamizaji wa kuchupa mipaka unaofanywa na utawala wa kidikteta nchini Bahrain dhidi ya wananchi wa taifa hilo.
-
Matokeo ya ukandamizaji nchini Bahrain
Sep 06, 2016 23:43Jumuiya mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimeendelea kuukosoa utawala wa Aal Khalifa wa nchini Bahrain na wigo wa ukosoaji huo unazidi kuchukua mkondo mpana siku baada ya siku.
-
Utawala wa Aal Khalifa umeshindwa kudiriki ujumbe wa mwamko wa Wabahrain
Sep 03, 2016 02:27Sheikh Issa Qassim mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu nchini Bahrain ametoa ujumbe na kuuonya vikali ukoo wa Aal Khalifa unaotawala nchini humo kuhusu sera zake za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wanaodhulumiwa nchini humo.
-
Amnesty International yakosoa kukandamizwa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain
Sep 01, 2016 23:46Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limekosoa na kulaani ukandamizaji mkubwa unaofanywa na utawala wa Bahrain dhidi ya Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo.
-
Kamati ya Haki za Binadamu Bahrain yakosoa ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa
Aug 24, 2016 03:34Kamati ya Haki za Binadamu nchini Bahrain imekosoa vikali ukandamizaji wa utawala wa Kifalme wa Aal Khalifa na kutangaza kuwa, utawala huo umekuwa umekuwa ukiwashinikiza wanazuoni wa Kishia nchini humo na kukanyaga haki zao.
-
Kuendelea dhuma dhidi ya Waislamu wa Kishia Bahrain
Aug 21, 2016 23:27Shirika la pamoja la kutetea haki za binadamu na demokrasia la Bahrain na Ujerumani limeripoti kuwa utawala wa Aal Khalifa umewaita kuwasaili maulamaa 70 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
UN yaitaka Bahrain ikomeshe ukandamizaji dhidi ya Mashia
Aug 16, 2016 10:53Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameutaka utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain uache kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia na kusisitiza kuwa dhulma hizo ni ukiukaji wa haki za msingi za binadamu.