Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Wananchi Bahrain waendeleza maandamano dhidi ya serikali

    Wananchi Bahrain waendeleza maandamano dhidi ya serikali

    Aug 14, 2016 03:24

    Wananchi wa Bahrain kwa mara nyingine tena wamekusanyika mbele ya nyumba ya kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Issa Qassim mapema leo kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni huyo wa Kiislamu.

  • Wabahrain waendelea kukusanyika mbele ya nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Wabahrain waendelea kukusanyika mbele ya nyumba ya Sheikh Issa Qassim

    Aug 10, 2016 09:44

    Wananchi wa Bahrain wanaendelea kukusanyika mbele ya nyumba ya kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Issa Qassim licha ya hali ya hewa ya joto kali iliyoko nchini humo hivi sasa.

  • Shakhsia wa kidini Bahrain wazidi kuswekwa korokoroni

    Shakhsia wa kidini Bahrain wazidi kuswekwa korokoroni

    Aug 07, 2016 08:46

    Polisi ya utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain imewatia mbaroni wanazuoni wanne mashuhuri wa Kiislamu, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa dhulma na ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.

  • Wabahrain waandamana tena kukosoa ukandamizaji wa Aal-Khalifa

    Wabahrain waandamana tena kukosoa ukandamizaji wa Aal-Khalifa

    Aug 05, 2016 10:36

    Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain katika kitongoji cha Diraz wamefanya maandaamano baada ya Swala ya Ijumaa kulaani dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal-Khalifa dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.

  • Wanaharakati Bahrain: Hatua yoyote dhidi ya Sh. Qassim italeta maafa

    Wanaharakati Bahrain: Hatua yoyote dhidi ya Sh. Qassim italeta maafa

    Aug 04, 2016 10:35

    Mwanaharakati mashuhuri wa upinzani na kidini nchini Bahrain ameuonya utawala wa Aal-Khalifa kuwa, hatua yoyote ya kumhujumu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu wa nchi hiyo itakuwa na taathira hasi.

  • Maulamaa wa Bahrain wataka viongozi wa kidini waliotiwa korokoroni waachiliwe huru

    Maulamaa wa Bahrain wataka viongozi wa kidini waliotiwa korokoroni waachiliwe huru

    Aug 03, 2016 02:47

    Maulamaa wa Bahrain wametaka shakhsia wa kidini na wa kisiasa wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala wa nchi hiyo wa Aal Khalifa waachiliwe huru.

  • Wimbi jipya la utiaji nguvuni wapinzani lashuhudiwa nchini Bahrain

    Wimbi jipya la utiaji nguvuni wapinzani lashuhudiwa nchini Bahrain

    Aug 02, 2016 11:46

    Vikosi vya utawala wa Aal Khalifa limemtia nguvuni Mkuu wa Baraza la harakati ya al-Wifaq na viongozi wengine kadhaa wa kidini wa nchi hiyo.

  • Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu

    Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu

    Jul 30, 2016 03:40

    Licha ya makelele ya jamii ya kimataifa na watetezi wa haki za binadamu, utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umemtia nguvuni kiongozi mwingine wa Kiislamu.

  • Wasomi wa Kiislamu Bahrain:Kesi dhidi ya Sh. Qassim ni bandia

    Wasomi wa Kiislamu Bahrain:Kesi dhidi ya Sh. Qassim ni bandia

    Jul 27, 2016 02:57

    Kundi la wanazuoni wa Kiislamu wa madhehebua ya Shia nchini Bahrain limesema tuhuma dhidi ya msomi mwenzao Ayatullah Sheikh Isa Qassim hazina msingi na kwa mantiki hiyo, kesi inayotazamiwa kuanza hii leo dhidi ya mwanachuoni huyo ni bandia.

  • Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz

    Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz

    Jul 22, 2016 23:37

    Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na dhulma za utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa, maafisa usalama nchini Bahrain walizuia Swala ya Ijumaa hapo jana sambamba na kuwatia mbaroni watu 50 katika kijiji cha Diraz, kaskazini magharibi mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS