• Iran yakosoa kuvunjwa chama cha al-Wefaq Bahrain

    Iran yakosoa kuvunjwa chama cha al-Wefaq Bahrain

    Jul 18, 2016 03:21

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali hatua ya Bahrain ya kuvunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq.

  • Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq

    Bahrain yavunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq

    Jul 17, 2016 11:24

    Mahakama moja nchini Bahrain imekivunja chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq, mwezi mmoja baada ya serikali ya Manama kusimamisha shughuli za chama hicho.

  • Ukosolewaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Ukosolewaji mkubwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Jul 17, 2016 03:03

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa ripoti yake ya mwaka 2015 hadi 2016 na kutangaza kuwa, Bahrain imeendelea kushuhudia ukandamizaji wa uhuru wa kutoa maoni, mateso na kuendeshwa kesi za kidhulma sambamba na kutolewa hukumu za kidhalimu dhidi ya wapinzani wa kisiasa katika nchi hiyo inayotawaliwa na mfumo wa Kifalme.

  • Bunge la Bahrain launga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin

    Bunge la Bahrain launga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin

    Jul 03, 2016 23:44

    Wabunge wa Bahrain wametangaza uungaji mkono wao kwa kundi la kigaidi la Munafiqin ikiwa ni katika kuendelezwa siasa za nchi hiyo dhidi ya Iran.

  • Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim

    Wabahrain waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim

    Jul 03, 2016 03:05

    Kwa mara nyingine tena wananchi wa Bahrain wamefanya maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu, Ayatullah Sheikh Isa Qassim ambaye hivi karibuni alivuliwa uraia na utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain.

  • Bahrain yaendeleza jinai zake, yawafunga maisha jela watu 8

    Bahrain yaendeleza jinai zake, yawafunga maisha jela watu 8

    Jun 29, 2016 08:48

    Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na hukumu zisizo za kiadilifu zinazotolewa na utawala wa Manamana dhidi ya wanaharakati na wapinzani, mahakama moja nchini Bahrain imewahukumu kifungo cha maisha jela, wanaharakati wanane wa Kishia wa nchi hiyo sambamba na kuwapokonya uraia.

  • Maelfu waendeleza mgomo mbele ya nyumba ya Ayatullah Qasim, Manama

    Maelfu waendeleza mgomo mbele ya nyumba ya Ayatullah Qasim, Manama

    Jun 28, 2016 09:36

    Maelfu ya Wabahrain wameendelea kufanya mgomo wa kuketi chini mbele ya nyumba ya Kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini huyo, Ayatullah Isa Qasim kwa siku ya nane mfululizo huku wakipiga nara zinazopinga utawala wa kifalme wa nchi hiyo.

  • Wairaqi waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim wa Bahrain

    Wairaqi waandamana kumuunga mkono Sheikh Qassim wa Bahrain

    Jun 25, 2016 02:08

    Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano ya kuonyesha uungaji mkono wao kwa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim ambaye hivi karibuni alivuliwa uraia na utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain.

  • Jumuiya za Kiislamu zalaani kuvuliwa uraia Sheikh Qassim

    Jumuiya za Kiislamu zalaani kuvuliwa uraia Sheikh Qassim

    Jun 24, 2016 10:06

    Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu imelaani hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kumvua uraia mwanachuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim.

  • Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim kunaiweka US na UK njia panda

    Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim kunaiweka US na UK njia panda

    Jun 23, 2016 03:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia msomi mashuhuri wa Kiislamu, Ayatullah Sheikh Isa Qassim na kusema kuwa kitendo hicho kimeziweka Marekani na Uingereza katika njia panda.