Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Barua ya mfalme wa Saudia ya kuvuliwa uraia Sheikh Qassim Bahrain yafichuliwa

    Barua ya mfalme wa Saudia ya kuvuliwa uraia Sheikh Qassim Bahrain yafichuliwa

    Jun 22, 2016 23:47

    Mfalme wa Saudia Salman bin Abdulaziz ndiye aliyetoa amri kwa utawala wa Bahrain kufuta uraia wa Sheikh Issa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini humo.

  • Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim ni njama ya Saudia

    Bahrain kumvua uraia Sheikh Qassim ni njama ya Saudia

    Jun 22, 2016 02:28

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, IRGC limetoa taarifa na kulaani hatua ya utawala wa kiimla wa Bahrain wa kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim na kusema hatua hiyo ilipangwa na utawala wa Saudia.

  • Dunia yaendelea kuikosoa Bahrain kwa kumvua uraia Sh. Isa Qassim

    Dunia yaendelea kuikosoa Bahrain kwa kumvua uraia Sh. Isa Qassim

    Jun 21, 2016 10:28

    Hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Ayatullah Sheikh Isa Qassim, imeendelea kulaaniwa na asasi mbalimbali duniani, shakhsia mashuhuri na jamii ya kimataifa kwa ujumla.

  • Kamanda mwandamizi Iran aionya vikali Bahrain kwa kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim

    Kamanda mwandamizi Iran aionya vikali Bahrain kwa kumvua uraia Ayatullah Isa Qassim

    Jun 21, 2016 03:02

    Kufuatia hatua ya utawala wa Bahrain kumvua uraia mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Isa Qassim, kamanda wa Kikosi cha Quds katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ameuonya vikali utawala wa Aal Khalifa

  • Maulamaa wa Bahrain: Kuipiga marufuku Al-Wifaq ni kutangaza vita

    Maulamaa wa Bahrain: Kuipiga marufuku Al-Wifaq ni kutangaza vita

    Jun 16, 2016 11:00

    Maulamaa wa Bahrain wametangaza kuwa hatua ya utawala wa Aal Khalifa ya kuzifuta na kuzipiga marufuku jumuiya na asasi za upinzani, kufunga ofisi zao na kuwatia nguvuni watu ni sawa na "kutangaza vita".

  • Jamii ya kimataifa yaikosoa Bahrain kupiga marufuku al-Wefaq

    Jamii ya kimataifa yaikosoa Bahrain kupiga marufuku al-Wefaq

    Jun 15, 2016 02:45

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelaani hatua ya utawala wa Bahrain ya kukipiga marufuku chama kikuu cha upinzani nchini humo cha al-Wefaq.

  • Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain akamatwa

    Mkuu wa Kituo cha Haki za Binadamu Bahrain akamatwa

    Jun 13, 2016 03:20

    Katika kuendelea ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Bahrain, wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa wamemtia mbaroni Nabil Rajab, mkuu wa kituo cha haki za binadamu nchini humo.

  • Bahrain imeweka rekodi ya kuwa na wafungwa wengi katika Mashariki ya Kati

    Bahrain imeweka rekodi ya kuwa na wafungwa wengi katika Mashariki ya Kati

    Jun 11, 2016 23:59

    Bahrain inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wafungwa kati ya nchi za Mashariki ya Kati kulingana na idadi ya raia wote wa nchi hiyo.

  • UN: Kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Salman ni ukandamizaji wa kisiasa

    UN: Kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Salman ni ukandamizaji wa kisiasa

    Jun 02, 2016 03:18

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza amelaani vikali uamuzi wa mahakama ya rufaa ya Bahrain wa kuidhinisha hukumu iliyotolewa dhidi ya Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Harakati ya Al-Wifaq na kuongeza adhabu hiyo ya kifungo hadi miaka tisa.

  • Radiamali ya Iran kufuatia kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Ali Salman

    Radiamali ya Iran kufuatia kuongezewa adhabu ya kifungo Sheikh Ali Salman

    Jun 01, 2016 03:01

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hatua ya kumzidishia adhabu ya kifungo cha jela Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kiislamu ya Kitaifa ya al Wifaq ya Bahrain.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS