-
Mahakama ya ICT Bangladesh yamhukumu adhabu ya kifo waziri mkuu wa zamani Hasina
Nov 17, 2025 10:48Baraza la Mahakama la Jinai za Kimataifa (International Crimes Tribunal), ICT la Bangladesh leo limetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Waziri Mkuu wa zamani aliyeitoroka nchi Sheikh Hasina, baada ya kumpata na hatia ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu-mbali na makosa mengine-, kwa uhalifu uliofanywa mwaka jana wakati wa maandamano makubwa zaidi kuwahi kutokea ya kupinga serikali yake.
-
Maandamano Bangladesh baada ya ndege ya kijeshi kuangukia skuli na kuua watu 31
Jul 22, 2025 18:41Mamia ya watu wameandamana nchini Bangladesh kudai uwajibikaji baada ya ndege ya kivita ya jeshi la anga kuangukia skuli moja katika mji mkuu Dhaka na kusababisha vifo vya watu 31 wakiwemo wanafunzi 25.
-
Waandamanaji wachoma moto nyumba ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman
Feb 06, 2025 11:01Kundi kubwa la waandamanaji jana liliharibu na kuchoma makazi ya mwasisi wa Bangladesh, Sheikh Mujibur Rahman huko Dhaka, wakati binti yake, Sheikh Hasina waziri mkuu aliyeondolewa madarakani alipokuwa akihutubia kwa njia ya mtandao.
-
Muhammad Yunus ala kiapo cha kuongoza serikali ya mpito ya Bangladesh
Aug 09, 2024 10:09Mwanauchumi aliyeshinda tuzo ya amani ya Nobel Muhammad Yunus ameapishwa kuwa mkuu wa serikali ya mpito ya Bangladesh, siku tatu baada ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina kulazimika kujiuzulu na kukimbilia nchi jirani ya India.
-
Umoja wa Mataifa wataka kukabidhiwa madaraka kwa amani nchini Bangladesh
Aug 06, 2024 12:56Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuhamishwa madaraka kwa njia ya amani nchini Bangladesh, akitoa wito wa kuwajibishwa maafisa wa serikali ya nchi hiyo waliohusika na mauaji ya mamia ya watu na kujeruhiwa maelfu ya waandamanaji katika maandamano ya hivi karibuni dhidi ya serikali.
-
UN: Warohingya 45,000 wakimbilia katika maeneo karibu na mpaka wa Bangladesh
May 25, 2024 02:05Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa jana Ijumaa ilieleza kuwa Waislamu wa Rohngya wasiopungua elfu 45 wamekimbilia katika maeneo karibu na mpaka wa Bangladesha baada ya kuripotiwa mapigano.
-
Jumanne, Machi 26, 2024
Mar 26, 2024 02:08Leo ni Jumanne tarehe 15 Ramadhani 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 26 Machi 2024 Milaadia.
-
Jumapili, 26 Machi, 2023
Mar 26, 2023 02:41Leo ni Jumapili tarehe 4 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 26 Machi 2023 Miladia.
-
Kuendelea ushirikiano wa kiuchumi wa kundi la D-8 katika kikao cha Dhaka
Jul 30, 2022 10:51Duru nyingne ya mkutano wa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi yaani D-8 imefanyika huku Bangladesh ikiwa mwenyeji wa mkutano huo.
-
Jumamosi, 26 Machi, 2022
Mar 26, 2022 03:07Leo ni Jumamosi tarehe 23 Shaaban 1443 Hijria, sawa na tarehe 26 Machi 2022 Miladia.