-
Rais wa Iran: Michezo ya kisiasa haiwezi kuitenganisha Quds na Waislamu
May 16, 2018 14:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Mji wa Quds au Baitul Muqaddas (Jerusalem) ambako ndiko uliko Msikiti wa Al Aqsa ni mji unaoheshimiwa na Waislamu wote na hivyo ardhi hiyo takatibu haiwezi kuteganishwa na Waislami zaidi ya bilioni moja na nusu duniani kwa mchezo wa kisiasa.
-
Jumamosi, Machi 17, 2018
Mar 17, 2018 03:48Leo ni Jumamosi tarehe 28 Mfunguo Tisa Jamadi Thani 1439 Hijria sawa na tarehe 17 Machi 2018 Miladia.
-
Taathira za maamuzi hatari ya Trump kuhusu Quds
Feb 25, 2018 03:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Marekani wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Rais wa Uturuki: Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 28, 2017 16:34Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuuwa, Quds ni mstari mwekundu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Maandalizi ya Israel ya kuwafukuza Wapalestina wote katika mji wa Baitul Muqaddas
Dec 27, 2017 08:16Kutokana na baraka alizotoa Donald Trump kwa utawala wa Kizayuni kuhusiana na mji wa Baitul Muqaddas, bunge la utawala huo haramu limepanga kujadili rasimu ya sheria ya kuwafukuza Wapalestina wote katika mji huo kilipo kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu-2
Dec 26, 2017 16:46Hatua ya Rais Donald Tump wa Marekani ya kuitambua Quds (Baitul Muqaddas au Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel kwa mara nyingine imeuweka mji huo mtakatifu kwa dini zote za Mwenyezi Mungu hususan Uislamu katika kurasa za mbele za magazeti na safu ya kwanza ya habari za vyombo vya mawasiliano ya umma kote duniani.
-
Bunge la Iran lapitisha: Quds ni mji mkuu wa kudumu wa Palestina
Dec 24, 2017 16:42Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran leo wamepitisha mpango wa dharura wa kuunga mkono Mapinduzi ya Kiislamu ya watu wa Palestina na kusisitiza kwamba Baitul Muqaddas utakuwa mji mkuu wa kudumu wa nchi ya Palestina.
-
Quds, Kituo cha Dini za Mwenyezi Mungu -1
Dec 19, 2017 11:25Miaka mia moja baada ya kutolewa Azimio la Balfour (Balfour Declaration) la waziri wa wakati huo wa mambo ya nje wa Uingereza akiafiki kuundwa dola la Kiyahudi katika ardhi ya Palestina, Donald Trump, Rais wa sasa wa Marekani ameitangaza Quds tukufu (Jerusalem) na Baitul Muqaddas, Kibla cha Kwanza cha Waislamu wote, kuwa ni mji mkuu wa utawala huo bandia wa Israel.
-
Ushindi mwingine kwa Palestina, ISESCO yaunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2017 05:52Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Kiislamu (ISESCO) limeunga mkono azimio la siku chache zilizopita la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusiana na mji wa Baytul Muqaddas huko Palestina. Azimio hilo limetangaza rasmi kuwa Israel ni dola vamizi na halina haki yoyote ya kuendesha masuala sheria za kimahakama na kiidara katika mji huo.
-
Sala ya kwanza ya Ijumaa Mwezi wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa
Jun 02, 2017 14:22Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika sala ya Ijumaa ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Msikiti wa Al Aqsa kwenye mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel huku ya wanajeshi wa utawala huo wa Kizayuni wakiwa wameweka sheria kali za kuwabana Waislamu.