Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Amnesty: Watoto wanaoshukiwa kuwa Boko Haram wanakufia kizuizini Nigeria

    Amnesty: Watoto wanaoshukiwa kuwa Boko Haram wanakufia kizuizini Nigeria

    May 11, 2016 02:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema makumi ya watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la Boko Haram wakiwemo watoto wadogo wameaga dunia wakiwa kizuizini katika korokoro ya kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria mwaka huu pekee.

  • Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kabambe dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa

    Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kabambe dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa

    May 02, 2016 03:24

    Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kubwa dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika msitu wa Sambisa.

  • Nigeria yasisitiza kutekeleza operesheni imara za kijasusi dhidi ya Boko Haram

    Nigeria yasisitiza kutekeleza operesheni imara za kijasusi dhidi ya Boko Haram

    May 01, 2016 03:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Nigeria amesisitiza juu ya udharura wa kutekeleza operesheni imara za kijasusi dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Nchi zinazopambana na Boko Haram zakosolewa kwa kushindwa kulitokomeza kundi hilo

    Nchi zinazopambana na Boko Haram zakosolewa kwa kushindwa kulitokomeza kundi hilo

    Apr 30, 2016 23:51

    Nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika zilizoanzisha muungano wa kijeshi wa kupambana na Boko Haram zinakosolewa kutokana na kushindwa kulitokomeza kundi hilo la kigaidi.

  • Wito wa kuwepo azma ya kupambana na makundi ya kigaidi Afrika

    Wito wa kuwepo azma ya kupambana na makundi ya kigaidi Afrika

    Apr 28, 2016 10:44

    Mkuu wa kikosi cha Kiafrika cha kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi hilo kuzidisha azma ya kukabiliana na ugaidi.

  • Nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la Boko Haram zatakiwa kutekeleza ahadi zao

    Nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya kundi la Boko Haram zatakiwa kutekeleza ahadi zao

    Apr 27, 2016 09:53

    Mkuu wa vikosi vya Kiafrika vya kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram amezitaka nchi zinazoshiriki katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo hao kufungamana na ahadi zao.

  • Jeshi la Nigeria lawaua wapiganaji 10 wa kundi la Boko Haram  katika jimbo la Borno

    Jeshi la Nigeria lawaua wapiganaji 10 wa kundi la Boko Haram katika jimbo la Borno

    Apr 25, 2016 02:33

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewauwa wanachama wasiopungua 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram mashariki mwa jimbo la Borno lililoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Wanachama 10 wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Wanachama 10 wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Apr 23, 2016 03:40

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeua wanachama 10 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wasichana waliotekwa na Boko Haram, kisingizio cha propaganda za Marekani

    Wasichana waliotekwa na Boko Haram, kisingizio cha propaganda za Marekani

    Apr 22, 2016 23:49

    Mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kufuatiliwa hatima ya wasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram nchini Nigeria.

  • Miaka miwili yapita tangu Boko Haram kuteka wasichana Chibok

    Miaka miwili yapita tangu Boko Haram kuteka wasichana Chibok

    Apr 15, 2016 03:30

    Ni miaka miwili sasa tangu magaidi wakufurishaji wa Boko Haram walipowateka nyara wasichana wa shule ya serikali katika mji wa Chibok, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS