-
Nigeria yasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Apr 14, 2016 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza udharura wa kuzidishwa ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo la magharibi mwa Afrika kwa ajili ya kupambana na kundi la Boko Haram.
-
NIgeria: Upo udharura wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano ili kupambana na ugaidi
Apr 13, 2016 23:23Wizara ya Mambo ya Nje ya Nigeria imesisitiza juu ya ulazima wa kuzidishwa mawasiliano na ushirikiano unaohitajika kati ya nchi za eneo ili kupambana na kundi la Boko Haram.
-
Boko Haram wanatumia watoto katika hujuma za kigaidi
Apr 12, 2016 11:56Kundi la magaidi wakufurishaji wa Boko Haram nchini Nigeria wanazidi kuwatumia watoto wadogo kusheheni bomu na kujiripua katika hujuma za kigaidi.
-
Boko Haram 300 wauawa, raia 2000 wakombolewa
Apr 05, 2016 22:24Muungano wa kijeshi unaopambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram umetangaza kuwa, wapiganaji 300 wa kundi hilo wameangamizwa na karibu raia 2000 wasio na hatia wamekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi hao.
-
Naibu kinara wa Boko Haram akamatwa
Apr 03, 2016 09:12Naibu kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria amekamatwa katika oparesheni ya vikosi vya usalama nchini humo.
-
Askari wa UN walitumia mbwa kuwanyanyasa kingono watoto CAR
Mar 31, 2016 04:28Maafisa wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na unyanyasaji unaofanywa na wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
HRW: Boko Haram iliteka mamia ya wanawake na watoto huko Damasak
Mar 31, 2016 03:41Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti inayoonesha kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram liliwateka mamia ya wanawake na watoto katika mji wa Damasak kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Makumi ya magaidi wa Boko Haram wauawa Nigeria
Mar 28, 2016 23:52Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameuawa nchini Nigeria.
-
Boko Haram imeua watu 20,000 Nigeria, hasara ya $5.9bn Borno
Mar 22, 2016 02:55Benki ya Dunia imesema magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria hadi sasa wameua watu 20 elfu na kusababisha hasara ya dola bilioni 5.9 katika jimbo la Borno.
-
Magaidi 27 wa kundi la Boko Haram waangamizwa Nigeria
Mar 21, 2016 23:07Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa magaidi wasiopungua 27 wa kundi la kigaidi na kitakfiri wa Boko wameangamizwa katika mashambulio kadhaa yaliyofanywa na jeshi hilo katika mkoa wa Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.