-
Jeshi la Cameroon laangamiza Boko Haram 20 nchini Nigeria
Mar 17, 2016 10:33Wanajeshi wa Cameroon wametangaza kuangamiza wanachama 20 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika operesheni iliyofanyika huko kaskazini mwa Nigeria.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi nchini Nigeria
Mar 17, 2016 10:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililofanywa katika msikiti mmoja huko Nigeria.
-
Benin yatangaza kuwa tayari kuchangia kikosi cha kupambana na kundi la Boko Haram
Mar 16, 2016 22:15Nchi ya Kiafrika ya Benin imetangaza utayarifu wake wa kutuma kikosi kitakachoungana na majeshi yanayopambana na kundi la Boko Haram la Nigeria.
-
Afrika Kusini yakanusha kutumba jeshi Nigeria kupambana na Boko Haram
Mar 09, 2016 23:12Jeshi la Afrika Kusini limekanusha habari kuwa litatatuma askari nchini Nigeria kupambana na wapiganaji wa kundi la Boko Haram.
-
Jeshi la Nigeria laendelea na oparesheni ya kuwaangamiza Boko Haram
Mar 07, 2016 12:48Jeshi la Nigeria limesema kuwa linaendelea na oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa Boko Haram katika maficho yao.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria
Feb 28, 2016 04:30Operesheni ya pamoja ya majeshi ya Nigeria na Cameroon imefanikiwa kuangamiza wanachama 100 wa kundi la kigaidi na kitafkiri la Boko Haram , kaskazini mashariki wa Nigeria.
-
Kuanza oparesheni ya kuwaaangamiza wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Feb 27, 2016 09:32Jeshi la Nigeria limesema kuwa tayari limeanza oparesheni ya kuwaangamiza wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laanzisha operesheni kali dhidi ya Boko Haram
Feb 26, 2016 04:18Jeshi la Nigeria limeanzisha operesheni kali dhidi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram, ambayo ina lengo la kuwasambaratisha wanachama wa kundi hilo.
-
Boko Haram yasababisha maelfu ya watoto wa Nigeria kuwa wakimbizi
Feb 23, 2016 04:51Zaidi ya watoto 6,500 wako katika hatari ya kupoteza maisha yao kutokana na baa la njaa linalowakabili, katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria.
-
Waislamu na Wakristo wa Cameroon kulinda misikiti na makanisa dhidi ya mashambulio ya Boko Haram
Feb 23, 2016 00:09Waislamu na Wakristo wa Cameroon wanaandaa mikakati ya kupambana na kundi la Boko Haram la nchini Nigeria.