-
Meja Jenerali Salami: Adui analenga kuvuruga utulivu wa Waislamu kwa kuvunjia heshima matukufu yao
Jan 10, 2023 23:48Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akizungumzia hatua ya kudhalilisha ya chapisho la Kifaransa la Charlie Hebdo, alisema kuwa adui sasa analenga kuvunjia heshima matukifu ya Kiislamu ili kuvuruga utulivu wa Waislamu.
-
Kamanda wa IRGC adungwa chanjo ya COVID-19 ya Noora ya Iran
Jan 02, 2022 04:38Chanjo nyingine ya COVID-19 iliyotegenezwa Iran ijulikanayo kama Noora imeingia awamu ya tatu ya majaribio kwa mwanaadamu kwa kudungwa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Jenerali Salami: Vita vijavyo vitaashiria mwisho wa uhai wa Israel
Aug 08, 2021 03:29Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameukumbusha utawala wa Kizayuni juu ya uwezo mkubwa wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika mapambano na vita vya nchi kavu na kuonya kuwa, hatua yoyote ghalati itakayopelekea kuibuka vita vipya, haitakuwa na matokeo mengine isipokuwa kufutwa Israel katika uso wa dunia.
-
Jenerali Salami: Pigo la kwanza kwa Israel, yumkini likawa la mwisho
May 06, 2021 08:17Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema wimbi la migogoro ya kiusalama lililoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) limeonesha wazi udhaifu na hatari inayoukabili utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jenerali Salami: Sanaa ya IRGC ni kuyavunja madola ya kiistikbari
Feb 14, 2021 04:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kazi kubwa ya jeshi la SEPAH ni kuyavunja na kuyasambaratisha madola ya kiistikbari.
-
Brigadia Jenerali Salami: Adui anaogopa kuingia vitani na Iran
Jun 22, 2018 00:22Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema kuwa, adui amepoteza uwezo wake wote wa kuingia vitani na Iran na kwamba amechakaa na karibu atatokomea.
-
Brigedia Jenerali Salami: Viongozi wa Marekani na Israel ni wasanii wenye vioja
Feb 19, 2018 04:36Naibu Kamanda Mkuu wa jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika radiamali yake kwa maonyesho ya kipropaganda ya Waziri Mkuu wa Israel katika mkutano wa usalama wa Munich Ujerumani kwamba, viongozi wa Marekani na Israel wamegeuka kuwa wasanii wenye vioja.