-
Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso
Feb 21, 2023 04:01Magaidi wasipoungua 160 wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Burkina Faso katika eneo la Sahel, wakati huu ambapo mabaki ya askari vamizi wa Ufaransa wanaendelea kuondoka nchini humo.
-
Wanajeshi, raia 28 wauawa katika hujuma za kigaidi Burkina Faso
Jan 31, 2023 03:37Kwa akali watu 28 wakiwemo wanajeshi na raia wameuwa katika mashambulizi mawili ya kigaidi kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Ufaransa yatakiwa iondoe jeshi lake Burkina Faso haraka iwezekavyo
Jan 22, 2023 04:27Serikali ya kijeshi inayotawala Burkina Faso imeitaka Ufaransa iwaondoe wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi katika kipindi kifupi kijacho.
-
Wananchi wa Burkina Faso waandamana dhidi ya Ufaransa
Jan 21, 2023 06:48Mamia ya wananchi wa Burkina Faso wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu Ouagadougou kushiriki maandamano dhidi ya Ufaransa, hatua inayoonesha jinsi ushawishi wa Paris katika nchi za bara la Afrika unavyoendelea kupungua.
-
Burkina Faso yaamuru kuondoka nchini humo mratibu wa UN; yasema haimkubali
Dec 24, 2022 23:49Burkina Faso imeamuru kuondoka nchini humo Mratibu wa Umoja wa Mataifa na kutangaza kuwa haimkubali mwanadiplomasia huyo.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya redio ya RFI ya Ufaransa
Dec 04, 2022 03:42Serikali ya Burkina Faso imesimamisha nchini humo matangazo ya Redio ya Kifaransa ya RFI inayofadhiliwa na serikali ya Paris, kwa madai ya kutangaza habari za uwongo na upotoshaji.
-
Askari 10, magaidi 18 wauawa katika makabiliano Burkina Faso
Oct 25, 2022 07:21Wanajeshi wasiopungua 10 wa Burkina Faso wameuawa huku wengine zaidi ya 50 wakijeruhiwa, baada ya kundi moja la kigaidi kuvamia kambi ya jeshi katika eneo la Sahel nchini humo.
-
AU yalaani mapinduzi ya kijeshi Burkina Faso, Ufaransa yatuhumiwa kuhusika
Oct 02, 2022 04:32Umoja wa Afrika (AU) umelaani hatua ya 'wanajeshi waasi' kutwaa mamlaka ya nchi kinyume cha katiba huko Burkina Faso, katika hali ambayo nchi hiyo ilikuwa katika mkondo wa kurejesha utawala wa kiraia.
-
Askari 11 wauawa, raia 50 watoweka kufuatia shambulio la kigaidi Burkina Faso
Sep 28, 2022 00:08Wanajeshi wasiopungua 11 wa Burkina Faso wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Burkina Faso lakiri kuua raia katika shambulio dhidi ya 'magaidi'
Aug 03, 2022 21:54Jeshi la Burkina Faso limekiri kuwa liliua raia 'kimakosa' katika operesheni ya kupambana na magenge ya kigaidi kusini mashariki mwa nchi.