Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Burundi wakosoa tamko la serikali la kutomtambua mke zaidi ya mmoja, wataka marekebisho

    SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Burundi wakosoa tamko la serikali la kutomtambua mke zaidi ya mmoja, wataka marekebisho

    Jun 19, 2017 12:36

    Viongozi wa Kiislamu nchini Burundi wamewataka Waislamu wa nchi hiyo kushikamana na mafundisho ya dini yao hususan katika suala la kuoa zaidi ya mke mmoja ambalo linaonekana kupigwa marufuku na serikali.

  • UN: Jeshi la Burundi linatesa na kuua wapinzani wa serikali

    UN: Jeshi la Burundi linatesa na kuua wapinzani wa serikali

    Jun 15, 2017 12:42

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa, jeshi la serikali ya Burundi linaendelea kuteka nyara, kutesa na kuua wananchi bila ya kuchukuliwa hatua yoyote.

  • Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    Burundi yachukua hatua kudhibiti mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana

    May 26, 2017 22:17

    Serikali ya Burundi imewaagiza watu wote hususan vijana wanaoishi kinyumba kuhalalisha na kusajili ndoa zao kufikia mwishoni mwa mwaka huu.

  • EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    EU yakataa ombi la Museveni na Magufuli la kuiondolea vikwazo Burundi

    May 21, 2017 23:54

    Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania amekataa ombi la marais wa Tanzania na Uganda la kuutaka umoja huo uifutie vikwazo Burundi.

  • SAUTI: Uhaba wa fuel nchini Burundi umeendelea kushuhudiwa, licha ya juhudi za serikali ya nchi hiyo kufanyika bila mafanikio

    SAUTI: Uhaba wa fuel nchini Burundi umeendelea kushuhudiwa, licha ya juhudi za serikali ya nchi hiyo kufanyika bila mafanikio

    May 09, 2017 12:52

    Na nchini Burundi uhaba wa fuel kwa ajili ya vyombo vya usafiri umeendelea kushuhudiwa licha ya serikali ya Bujumbura kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kupitisha sharia mpya za ugavi wa nishati hiyo.

  • SAUTI: Waandishi Burundi walalamikia wanavyobanwa, mazingira hatari na ukosefu wa usalama kazini

    SAUTI: Waandishi Burundi walalamikia wanavyobanwa, mazingira hatari na ukosefu wa usalama kazini

    May 04, 2017 13:34

    Mkuu wa kituo cha waandishi habari nchini Burundi amesema, maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari yanafanyika wakati waandishi nchini humo wakifanya kazi katika hali ya woga kiasi kwamba katika kipindi cha miaka miwili ya mzozo wa nchi hiyo uhuru wa vyombo vya habari umebakia katika maandishi na si katika vitendo. Maelezo zaidi na mwandishi wa Bujumbura, Hamida Issa...

  • Mchakato wa kisiasa Burundi wazidi kugonga mwamba

    Mchakato wa kisiasa Burundi wazidi kugonga mwamba

    Apr 25, 2017 03:49

    Burundi inaelekea kuathiriwa tena na mgogoro wa kisiasa licha kufanyika juhudi za kikanda na kimataifa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • SAUTI, Burundi: Wapiganaji wa Kagame ndio walioitungua ndege aliyoipanda Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi yetu

    SAUTI, Burundi: Wapiganaji wa Kagame ndio walioitungua ndege aliyoipanda Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi yetu

    Apr 07, 2017 10:37

    Serikali ya Burundi imeadhimisha hapo jana mwaka wa 23 tangu kuuawa kwa Cyprien Ntaryamira, rais wa zamani wa nchi hiyo.

  • UN: Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na malaria Burundi yapindukia 4000

    UN: Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na malaria Burundi yapindukia 4000

    Mar 29, 2017 22:42

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, idadi ya watu walioaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa malaria nchini Burundi imeongezeka na kupindukia watu 4000, tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.

  • SAUTI, Burundi: Hatutakubali ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam dhidi yetu kwani ni njama

    SAUTI, Burundi: Hatutakubali ripoti ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam dhidi yetu kwani ni njama

    Mar 23, 2017 13:36

    Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binaadam imekusudia kuanzisha uchunguzi juu ya ukiukaji haki za binaadamu nchini Burundi kupitia nchi za jirani zilowapokea wakimbizi wa taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS