-
Burundi yawatimua raia wa nchi zilizosimamisha ushirikiano na Bujumbura
Apr 22, 2016 10:45Burundi imewataka raia wa nchi za kigeni zilizosimamisha ushirikiano na serikali ya Bujumbura, kuondoka nchini humo.
-
Umwagaji damu waendelea Burundi, watu wengine 4 waua
Apr 21, 2016 10:53Watu wanne wameuawa katika matukio mawili tofauti katika kile kinachoonekana ni mauaji ya kulipiza kisasi kati ya maafisa wa serikali na waasi nchini Burundi.
-
Serikali ya Burundi yaomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Francophone
Apr 17, 2016 02:30Serikali ya Burundi imeomba iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Lugha ya Kifaransa (Francophone).
-
Afisa wa serikali ya Burundi auawa katika makabiliano ya kulipiza kisasi
Apr 14, 2016 10:01Afisa wa chama tawala nchini Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi, katika kile kinachoonekana ni wimbi la makabiliano ya kulipiza kisasi dhidi ya serikali.
-
Watu 46 wameuawa Burundi mwaka huu
Apr 14, 2016 02:52watu 46 wameripotiwa kuuawa ndani ya kipindi cha miezi mitatu ya mwanzoni mwa mwaka huu katika ghasia zinazoendelea nchini Burundi.
-
Watu watano wauawa sokoni nchini Burundi
Apr 12, 2016 11:38Watu watano wamepigwa risasi na kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa Jumatatu usiku kufuatia hujuma iliyofanyika katika soko moja mashariki mwa Burundi.
-
Baraza la Usalama kutuma kikosi cha polisi Burundi
Apr 02, 2016 03:27Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kutuma kikosi cha maafisa wa polisi wa umoja huo nchini Burundi kwa lengo la kudhibiti hali ya mambo nchini humo.
-
Watetezi wa Haki: Hali ya Burundi inatisha, zaidi ya 381 wameuawa hadi sasa
Apr 02, 2016 01:49Tume Huru ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Buundi imeelezea wasi wasi wake kuhusiana na hali ya kiusalama na kisiasa nchini Burundi na kuongeza kwamba mamia ya watu wamekwishauawa kufikia sasa.
-
Rwanda yaitaka Burundi ifafanue kuhusu kifo cha mwanadiplomasia wake wa zamani
Apr 01, 2016 02:52Rwanda imeitaka serikali ya Burundi kueleza chanzo cha kifo cha balozi wa zamani wa nchi hiyo nchini Ubelgiji na Ufaransa Jacques Bihozagara.
-
Waziri wa zamani wa Rwanda afia jela Burundi
Mar 30, 2016 22:59Waziri wa zamani w Rwanda, Jacques Bihozagara ameaga dunia akiwa katika jela ya Burundi yapata miezi minne baada ya kutiwa nguvuni kwa tuhuma za kufanya ujasusi.