Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Mkutano wa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki nchini Burundi

    Mkutano wa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki nchini Burundi

    Mar 30, 2016 06:34

    Mji mkuu wa Burundi Bujumbura ni mwenyeji wa mkutano wa ukanda wa nchi za Afrika Mashariki ambao lengo lake ni kupanua ushirikiano wa pamoja na ustawi wa kijamii katika nchi hizo.

  • Kikao cha ushirikiano wa nchi za Mashariki mwa Afrika chaendelea nchini Burundi

    Kikao cha ushirikiano wa nchi za Mashariki mwa Afrika chaendelea nchini Burundi

    Mar 29, 2016 23:27

    Kikao cha ushirikiano na ustawi wa kijamii wa nchi za ukanda wa eneo la Mashariki mwa Afrika, kinaendelea jijini Bujumbura, Burundi licha ya mgogoro wa kisiasa kuendelea kushuhudiwa nchini.

  • EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    EU kupunguza ufadhili kwa askari wa Burundi walioko Somalia

    Mar 29, 2016 11:14

    Umoja wa Ulaya unapanga kupunguza ufadhili wake kwa askari wa Burundi ambao ni miongoni mwa wanajeshi wa Kikosi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM.

  • Mvutano katika uhusiano wa Rwanda na Burundi

    Mvutano katika uhusiano wa Rwanda na Burundi

    Mar 28, 2016 03:22

    Chama tawala Burundi kimemtuhumu Rais wa Rwanda kuwa anatekeleza maangamizi ya kizazi. Paschal Nyabenda mkuu wa chama tawala cha Burundi CNDD-FDD ameashiria maangamizi ya kizazi yaliyojiri Rwanda na kueleza kuwa Rais Paul Kagame wa nchi hiyo anawasajili vijana wa Burundi katika kambi za wakimbizi zilizopo Rwanda na kuwapatia mafunzo, ili baadaye wakirejea nchini kwao watekeleze mauaji ya kimbari.

  • Rais wa Rwanda atuhumiwa na Burundi 'kusafirisha' mauaji ya kimbari

    Rais wa Rwanda atuhumiwa na Burundi 'kusafirisha' mauaji ya kimbari

    Mar 27, 2016 22:31

    Chama tawala nchini Burundi cha CNDD-FDD kimemtuhumu Rais Paul Kagame wa Rwanda kuwa anataka "kusafirisha" mauaji ya kimbari, huku uhusiano kati ya nchi mbili hizo jirani ukizidi kuharibika.

  • Burundi: Jeshi letu halijagawanyika makundi mawili

    Burundi: Jeshi letu halijagawanyika makundi mawili

    Mar 26, 2016 12:27

    Msemaji wa jeshi la Burundi amekadhibisha habari za kugawika makundi mawili jeshi la nchi hiyo. Gaspard Baratuza ameyasema hayo kupitia mahojiano ya redio na kuongeza kuwa, ripoti za baadhi ya wanasiasa juu ya kugawika jeshi la nchi hiyo katika makundi mawili ya Kihutu na Kitutsi, hayana ukweli wowote.

  • Baraza la Haki za Binadamu laitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi

    Baraza la Haki za Binadamu laitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi

    Mar 23, 2016 10:30

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa jana liliitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi.

  • Kamanda wa jeshi la Burundi auawa kwa kupigwa risasi

    Kamanda wa jeshi la Burundi auawa kwa kupigwa risasi

    Mar 22, 2016 22:36

    Kamanda mmoja wa jeshi la Burundi ameuawa kwa kupigwa risasi.

  • Ki-moon: Viongozi wa kisiasa Burundi waonyeshe ushujaa wao kupitia mazungumzo

    Ki-moon: Viongozi wa kisiasa Burundi waonyeshe ushujaa wao kupitia mazungumzo

    Mar 20, 2016 04:46

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon ameitaka serikali na viongozi wa upinzani nchini Burundi, kufanya mazungumzo yenye itibari ili kumaliza mgogoro wa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na kuongezeka machafuko nchini Burundi

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na kuongezeka machafuko nchini Burundi

    Mar 19, 2016 13:21

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na kuongezeka utumiaji mabavu na vitendo vya utesaji katika nchi ya Burundi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS