-
Wazee maskini wa Canada wanafadhilisha kifo kuliko uhai
Dec 14, 2022 23:11Mwandishi wa habari wa Marekani anayeishi Amerika ya Kusini ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akisimulia hali ya wazee maskini na walemavu nchini Canada na kuandika kuwa, mfumo wa kibepari ni wa kikatili na kwamba nchi hiyo inawaua watu maskini.
-
Iran yatangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi ya Canada
Nov 03, 2022 08:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia na taasisi ya Canada kwenye orodha yake ya vikwazo, kwa kuunga mkono ugaidi.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Dunia haijasahau kashfa ya makaburi ya halaiki nchini Canada
Oct 06, 2022 10:15Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Ulimwengu bado haujasahau kashfa ya kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki ya mamia ya watoto katika viwanja vya shule za wamishonari yapata mwaka mmoja uliopita.
-
Wacanada hawataki kuendelea kuwa kwenye makucha ya ufalme wa Uingereza
Sep 14, 2022 22:47Matokeo ya uchunguzi wa hivi karibuni wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya wananchi wa Canada hawataki kuendelea kuwa chini ya makucha ya mfalme wao ajinabi, yaani Uingereza.
-
Alkhamisi tarehe 8 Septemba 2022
Sep 07, 2022 21:34Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Safar 1444 Hijria imayosadifiana na tarehe 8 Septemba 2022.
-
Utumiaji mabavu na mauaji vyaongezeka Canada
Sep 07, 2022 03:37Licha ya serikali ya Canada kufanya jitihada za kupunguza machafuko na utumiaji mabavu nchini, nchi hiyo katika miezi ya karibuni imekumbwa na jinai na vitendo vingi vinavyohusiana na utumiaji wa silaha baridi na moto.
-
Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan
Aug 25, 2022 21:55China imeionya vikali Canada na kusisitiza kuwa itachukua hatua madhubuti na za nguvu iwapo wabunge wa Canada watafanya safari ya kuitembelea Taiwan karibuni hivi.
-
Hujuma za chuki dhidi ya Waislamu Canada zaongezeka kwa 71%
Aug 05, 2022 06:22Jinai zinazotokana na chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Canada.
-
Papa akiri, kulifanyika mauaji ya kimbari ya watoto wa wakazi asili wa Canada
Jul 30, 2022 06:09Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ameyataja mauaji ya watoto wa wakazi asili nchini Canada kuwa ni "mauaji ya kimbari".
-
Kanisa Katoliki laomba msamaha kuhusu mauaji ya Kimbari ya Wacanada asilia
Jul 27, 2022 01:44Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Canada na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.