Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Ijumaa tarehe Mosi Julai 2022

    Ijumaa tarehe Mosi Julai 2022

    Jul 01, 2022 01:01

    Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Dhulqaada 1443 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2022.

  • Watoto 500 Waamerika asili walipoteza maisha katika shule za bweni za kanisa Marekani

    Watoto 500 Waamerika asili walipoteza maisha katika shule za bweni za kanisa Marekani

    May 12, 2022 11:08

    Ripoti mpya imefichua kuhusu vifo zaidi ya 500 katika shule za bweni za kanisa ambazo kwa zaidi ya karne moja zilijaribu kuwaingiza watoto wa jamii za asili za Amerika katika jamii ya wakoloni wazungu.

  • Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Waislamu 5 wajeruhiwa kwa kupigwa risasi msikitini nchini Canada

    Apr 17, 2022 07:59

    Watu watano wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa kwa risasi na wahalifu wasiojulikana nchini Canada, huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini humo.

  • Ombi la wakazi asilia wa Canada kwa Papa Francis

    Ombi la wakazi asilia wa Canada kwa Papa Francis

    Mar 29, 2022 07:11

    Wenyeji wa Canada walionusurika na mauaji ya shule za bweni za Kanisa Katoliki Jumatatu ya jana walimtaka Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani na mkuu wa Vatican, awezeshwe kupata kuona nyaraka zinazohusiana na jinai hiyo ya mauaji ya kimbari yaiiyolenga maelfu ya watoto wa Wahindu Wekundu na wakazi asilia wa Canada.

  • Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada

    Iran yakosoa azimio la haki za binadamu lililoungwa mkono na Canada

    Dec 18, 2021 13:09

    Afisa wa ngazi za juu wa Idara ya Mahakama ya Iran amekosoa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo lilipitishwa hivi karibuni kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran na kusema, azimio hilo ambalo limeungwa mkono na Canada, ni la kisiasa, na halijazingatia uhalisia wa mambo.

  • Khatibzadeh: Azimio kuhusu hali ya haki za binadamu Iran halina hadhi ya kisheria

    Khatibzadeh: Azimio kuhusu hali ya haki za binadamu Iran halina hadhi ya kisheria

    Nov 18, 2021 07:21

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, azimio lililopendekezwa na Canada na kuungwa mkono na baadhi ya nchi za Magharibi kuhusu hali ya haki za binadamu katika Jamhuri ya Kiislamu halina hadhi ya kisheria na kimsingi halikubaliki.

  • Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi

    Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi

    Oct 25, 2021 02:32

    Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS) amefilisika vibaya kiasi kwamba Canada imempa kinga ya ukimbizi nchini humo.

  • Canada kuwanyima mishahara wafanyakazi wanaokwepa chanjo ya UVIKO-19

    Canada kuwanyima mishahara wafanyakazi wanaokwepa chanjo ya UVIKO-19

    Oct 07, 2021 11:51

    Serikali ya Canada imeanzisha sheria mpya kali za kupambana na watu wanaofanya ukaidi wa kudunga chanjo za UVIKO-19 ambazo zitawaathiri watu wengi.

  • Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Serikali ya Canada yahukumiwa kuwalipa fidia wakazi asili wa nchi hiyo

    Oct 01, 2021 05:11

    Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali ya Ottawa kuwalipa fidia Wahindi Wekundu kwa kupatikana na hatia ya kukiuka haki zao za kibinadamu

  • Jumatano tarehe 8 Septemba 2021

    Jumatano tarehe 8 Septemba 2021

    Sep 08, 2021 02:40

    Leo ni Jumatano tarehe Mosi Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 8 Septemba 2021.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS