Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Canada

  • Ripoti: Canada inakiuka sheria za kimataifa kwa kuiuzia silaha Saudi Arabia

    Ripoti: Canada inakiuka sheria za kimataifa kwa kuiuzia silaha Saudi Arabia

    Aug 12, 2021 08:04

    Ripoti mpya ya mashirika ya kimataiafa ya kutetea haki za binadamu imeitaka serikali ya Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau isimamishe kuuuzia silaha utawala wa Saudi Arabia ikisisitiza kuwa, mauzo hayo si tu yanakiuka haki za binadamu, lakini pia yanavunja sheria za kimataifa.

  • Jamii ya Waislamu wa Canada yametangaza mshikamano na Wacanada asilia

    Jamii ya Waislamu wa Canada yametangaza mshikamano na Wacanada asilia

    Jul 11, 2021 04:42

    Maimamu 75 wa misikiti ya Waislamu wa Canada wamekutana na raia asili wa nchi hiyo na kueleza mshikamano wao na jamii hiyo kutokana na kugunduliwa makaburi ya umati ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa katika shule za Wamishonari wa Kikatoliti.

  • Waziri Mkuu wa Canada asisitiza tena: Papa anapasa kuwaomba radhi wenyeji asilia wa Canada

    Waziri Mkuu wa Canada asisitiza tena: Papa anapasa kuwaomba radhi wenyeji asilia wa Canada

    Jul 02, 2021 02:29

    Waziri Mkuu wa Canada amesema kuwa anataraji kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani atawaomba radhi wakazi asilia wa Canada.

  • Alkhamisi tarehe Mosi Julai 2021

    Alkhamisi tarehe Mosi Julai 2021

    Jul 01, 2021 02:24

    Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Dhulqaada 1442 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2021.

  • Mamia waaga dunia kutokana na joto kali nchini Canada

    Mamia waaga dunia kutokana na joto kali nchini Canada

    Jun 30, 2021 11:20

    Mamia ya watu wamefariki dunia nchini Canada baada ya joto lisilo la kawaida kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

  • Juhudi za Trudeau za kutaka kukwepa majukumu ya kuhusiaka Ottawa na muaji ya watoto wa Wacanada asili

    Juhudi za Trudeau za kutaka kukwepa majukumu ya kuhusiaka Ottawa na muaji ya watoto wa Wacanada asili

    Jun 29, 2021 16:01

    Kugunduliwa makaburi mapya ya mamia ya watoto wa Wacanada asili katika mkoa wa Saskatchewan kumewashtua watu ndani na nje ya Canada na kufufua tena mjadala wa ubaguzi wa rangi na wa kimfumo katika nchi hiyo ya Magharibi.

  • Trudeau: Papa Francis anapaswa kuomba radhi kwa yaliyotokea kwenye shule za bweni za wamishonari

    Trudeau: Papa Francis anapaswa kuomba radhi kwa yaliyotokea kwenye shule za bweni za wamishonari

    Jun 27, 2021 05:30

    Waziri Mkuu wa Canada amesema Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis anapaswa kuomba rahi kutokana na yaliyijiri kwenye shul za bwezi zilizokuwa zikisimamiwa na Kanisa Katoliki.

  • Wenyeji asili wa Canada wataka kufanyike uchunguzi wa hatima ya watoto wa wakazi asili huko Marekani

    Wenyeji asili wa Canada wataka kufanyike uchunguzi wa hatima ya watoto wa wakazi asili huko Marekani

    Jun 27, 2021 02:26

    Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.

  • Mashirika 130 yataka Canada iache kuhujumu taasisi za Kiislamu

    Mashirika 130 yataka Canada iache kuhujumu taasisi za Kiislamu

    Jun 26, 2021 12:38

    Huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu vikionekana kushtadi nchini Canada, serikali ya nchi hiyo imekuja na mpango wa kuyafanyia 'ukaguzi' mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Kiislamu nchini humo.

  • Amnesty International: Hali ya haki za binadamu Canada inatia wasiwasi

    Amnesty International: Hali ya haki za binadamu Canada inatia wasiwasi

    Jun 20, 2021 02:14

    Sera za kibaguzi zinazoshuhudiwa katika nchi za Magharibi zinaendelea kuzitia wasiwasi taasisi na jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS