-
Canada yataka genge la Trump litambuliwe kuwa kundi la kigaidi
Jan 26, 2021 11:55Bunge la Canada limeitaka serikali ya nchi hiyo liliweke rasmi genge la wanamgambo waliojizatiti kwa silaha na wafuasi sugu wa aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump katika orodha ya magenge ya kigaidi kama vile al-Qaeda na ISIS (Daesh).
-
Raisi: Haki za binadamu zinatumiwa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi huru duniani
Nov 23, 2020 13:16Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesema kuwa Canada inakiuka haki za binadamu na ni kimbilio la mafisadi na wahalifu. Ameongeza kuwa nchi mbaimbali duniani zimetambua kwamba haki za binadamu zimetiwa siasa kali na kugeuzwa wenzo wa kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.
-
Waziri Mkuu wa Canada apingana na Macron, asema Uislamu hauna mfungamano na ugaidi
Oct 30, 2020 08:54Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema kuwa gaidi aliyetekeleza hujuma ya kigaidi katika mji wa Nice nchini Ufaransa hawakilishi dini ya Uislamu wala Waislamu, na kwamba watu wote wanapasa kukiri ukweli huo.
-
Waislamu Canada wataka uchunguzi wa mauaji ya mwenzao nje ya msikiti Toronto
Sep 19, 2020 12:43Baraza la Kitaifa la Waislamu nchini Canada limetoa mwito wa kuchunguzwa mauaji ya Muislamu nje ya msikiti mmoja mjini Toronto, na kusisitiza kuwa mauaji hayo yamecochewa na chuki za kidini.
-
Jumanne, tarehe 8 Septemba, 2020
Sep 08, 2020 02:33Leo ni Jumanne tarehe 19 Muharram 1442 Hijria inayosadifiana na Septemba 8 mwaka 2020.
-
Washington Post: Saudia inaongozwa na mwanamfalme wa makundi ya mauaji
Aug 10, 2020 09:51Gazeti la Washington Post la Marekani limefanya ulinganisho baina ya mauaji yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa nchi hiyo, Jamal Khashogi, na jaribio la mauaji ya kigaidi lililofanywa na watu wa karibu na mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman dhidi ya mkuu wa zamani wa Idara ya Intelijensia la Saudi Arabia, Saad al Jabri na kusema Saudi Arabia inaongozwa na mrithi wa ufalme anayesimamia makundi ya mauti.
-
Ijumaa tarehe 10 Julai 2020
Jul 10, 2020 02:26Leo ni Ijumaa tarehe 18 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Junai 10 mwaka 2020.
-
Jumatano tarehe Mosi Julai mwaka 2020
Jul 01, 2020 08:11Leo ni tarehe 9 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na tarehe Mosi Julai mwaka 2020.
-
Hata serikali ya Canada nayo yasikitishwa na ukandamizaji wa polisi nchini Marekani
May 30, 2020 12:18Waziri Mkuu wa Canada amesema kuwa, nchi yake inafuatilia kwa sura ya kuemewa na woga maandamano na machafuko pamoja na ubaguzi wa rangi na ukandamizaji mkubwa unaofanywa na polisi wa Marekani.
-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 11:26Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.