-
China: Tutachukua hatua muhimu kujibu vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Oct 11, 2025 02:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesisitiza kuwa nchi yake itachukua hatua "muhimu" ili kulinda haki halali za makampuni na raia wa China katika kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.
-
"Akili Mnemba na Ushindani wa Kimataifa", Mpango Mkuu wa AI wa Marekani na Umuhimu Wake wa Kimkakati Kimataifa, Sept 25
Oct 07, 2025 05:48Kipindi hiki kinahusu mpango mkuu wa AI wa Marekani, matumizi yake ya kijeshi, vyombo vya habari, uwekezaji, umuhimu wa kielimu na ushindani wa kimataifa.
-
Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?
Oct 06, 2025 06:13China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
-
Pezeshkian: Iran inatoa kipaumbele kuimarisha uhusiano na China
Oct 01, 2025 12:37Rais Masoud Pezeshkian wa Iran katika ujumbe wake kwa mwenzake wa China, Xi Jinping, amesisitiza kuwa Tehran inatoa kipaumbele kwa suala la kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na wa kina na Beijing.
-
Jumatano, Oktoba Mosi, 2025
Oct 01, 2025 02:31Leo ni Jumatano tarehe 8 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 9 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe Mosi Oktoba 2025 Miladia.
-
Ripoti: Jeshi la China lafanyia majaribio mifumo ya nyuklia ya mashambulizi mtawalia
Sep 30, 2025 02:29Watafiti wa kijeshi wa China wamefanya majaribio ya ulipuaji wa nyuklia mtawalia ili kuunda nguvu kubwa zaidi ya uharibifu.
-
Waziri wa zamani wa Kilimo wa China ahukumiwa kifo kwa ufisadi wa kupokea rushwa
Sep 29, 2025 10:43Mahakama nchini China imemhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa kilimo wa nchi hiyo baada ya kumpata na hatia ya ufisadi wa kupokea rushwa.
-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 07:32China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
-
Trump azishambulia China na India kwa kuziita 'wafadhili wakuu' wa vita vya Ukraine
Sep 25, 2025 04:12Rais wa Marekani Donald Trump amezituhumu India na China kuwa "zinafadhili kifedha" vita vya Ukraine kupitia uagizaji wa nishati kutoka Russia. Trump ametoa shutuma hizo katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York.
-
Je, China imejibu vipi tuhuma za Trump?
Sep 07, 2025 06:49Ikiwa ni katika kujibu madai ya Trump, China imetangaza kwamba kupanua ushirikiano wake na nchi nyingine sio tishio kwa nchi yoyote ya tatu.