-
Sisitizo jingine la China la kutatuliwa mgogoro wa Ukraine kwa njia ya mazungumzo
Aug 12, 2023 02:16Viongozi wa serikali ya China wangali wanasisitiza juu ya suluhisho la kisiasa na kidiplomasia kwa mzozo wa Ukraine.
-
Waziri Mkuu wa Hungary: Marekani haikubali kuwa imeshindwa na China, inaweza ikaanzisha vita
Jul 23, 2023 13:24Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban ametoa tahadhari kuhusu kile alichokiita vita "visivyoweza kuepukika" kutokea kati ya Washington na Beijing kwa sababu Marekani inasitasita kukubali kuwa China ndilo dola lenye nguvu zaidi kwa sasa.
-
China yalaani njama ya Ulaya ya kushamirisha "Uenezaji Chuki Dhidi ya Uislamu" (Islamophobia)
Jul 23, 2023 02:18Mwakilishi wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amelaani kitendo kiovu kilichofanywa na Sweden na Denmark cha kuruhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kusisitiza kuwa Beijing inapinga uenezaji chuki dhidi ya Uislamu.
-
Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia
Jul 18, 2023 05:19John Kerry, mwanadiplomasia mkongwe na mwakilishi maalum wa Marekani katika masuala ya tabianchi aliwasili China Jumapili.
-
Watu sita, wakiwemo watoto 3 wauawa China katika shambulio dhidi ya skuli ya maandalizi
Jul 10, 2023 07:58Watu sita wakiwemo watoto watatu wameuawa na mmoja amejeruhiwa kwa kudungwa kisu katika kituo cha maandalizi kusini mwa China.
-
Tahadhari ya China kuhusu uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine
Jul 08, 2023 02:37Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa nchi mbalimbali kusimama dhidi ya "mapinduzi ya rangi ya nchi za Magharibi". Jinping ametoa wito huo katika mkutano Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, uliofanyika kwa njia ya mtandao.
-
China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan
Jul 05, 2023 09:59China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya mamilioni ya dola, ikisisitiza kuwa mauzo hayo yanakiuka kanuni ya "China Moja".
-
China: Marekani ituondolee vikwazo iwapo inataka mazungumzo ya kijeshi
Jun 30, 2023 03:24Beijing imesema serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani sharti iiondolee China vikwazo iwapo inataka kufanyike mazungumzo ya ngazi ya juu ya kijeshi baina ya madola hayo mawili makubwa.
-
Chokochoko mpya zilizoanzishwa na Biden kuhusiana na China
Jun 23, 2023 02:27Rais Joe Biden wa Marekani siku ya Jumanne wiki hii alimfananisha mwenzake wa China, Xi Jinping na madikteta.
-
China yamshambulia Biden kwa kudai kuwa Rais Xi ni dikteta
Jun 22, 2023 02:34Beijing imekosoa vikali matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani aliyedai kuwa Rais Xi Jingping wa China ni dikteta.