Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China:Uhusiano wetu na Marekani uko katika kiwango cha chini kabisa

    China:Uhusiano wetu na Marekani uko katika kiwango cha chini kabisa

    Jun 19, 2023 05:28

    Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa China amesema kuwa uhusiano wa nchi hiyo na Marekani umefika katika kiwango cha chini kuwahi kushuhudiwa katika historia na kutahadharisha kuwa hali hiyo haina maslahi kwa nchi yoyote ile.

  • China na Palestina zaafikiana kuanzisha ushirikiano wa kistratajia

    China na Palestina zaafikiana kuanzisha ushirikiano wa kistratajia

    Jun 15, 2023 03:04

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na kufanya mazungumzo na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina mjini Beijing, ambapo wawili hao wameafikiana juu ya kuanzisha ushirikiano wa kistratajia.

  • China: Tutaendelea kuunga mkono kadhia ya Palestina

    China: Tutaendelea kuunga mkono kadhia ya Palestina

    Jun 12, 2023 01:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa China amesema Beijing itaendelea kuunga mkono mapambano halali ya Wapalestina ya kupigania haki zao za kitaifa, na kusisitiza kwamba kadhia ya Palestina ni katika masuala muhimu ya eneo la Asia Magharibi.

  • China yaitaka Marekani iache undumakuwili, ulaghai wa kisiasa

    China yaitaka Marekani iache undumakuwili, ulaghai wa kisiasa

    Jun 10, 2023 06:53

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema mtazamo na misimamo ya Marekani mkabala wa mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano mwingine wa sera za kindumakuwili za Washington.

  • China yatupilia mbali ombi la Marekani la kuwakutanisha mawaziri wa ulinzi wa nchi mbili

    China yatupilia mbali ombi la Marekani la kuwakutanisha mawaziri wa ulinzi wa nchi mbili

    May 30, 2023 01:47

    Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeripoti kuwa China imekataa ombi la Marekani la kufanyika mkutano kati ya mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili kando ya kongamano la kila mwaka la usalama nchini Singapore.

  • China yaitaka Israel iache chokochoko, uporaji wa ardhi za Wapalestina

    China yaitaka Israel iache chokochoko, uporaji wa ardhi za Wapalestina

    May 25, 2023 23:50

    China imeutaka utawala haramu wa Israel ukomeshe mara moja tabia yake ya uchokozi, kuchochea taharuki na kupora ardhi na rasilimali za Wapalestina hasa katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Reuters 'yasutwa' kudai kwamba majasusi wa China wamefanya udukuzi mkubwa dhidi ya Kenya

    Reuters 'yasutwa' kudai kwamba majasusi wa China wamefanya udukuzi mkubwa dhidi ya Kenya

    May 25, 2023 23:10

    Serikali ya Kenya imesema madai yaliyotolewa na shirika la habari la Reuters, kwamba China imekuwa ikifanya udukuzi kwa miaka mingi dhidi ya nchi hiyo ni "propganda" tu.

  • Russia yalaani kauli ya rais wa Ufaransa kuhusu uhusiano wa Moscow na China

    Russia yalaani kauli ya rais wa Ufaransa kuhusu uhusiano wa Moscow na China

    May 16, 2023 02:48

    Maafisa wa Russia wamelaani matamshi ya rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwamba Moscow sasa inabadilika na kuwa kibaraka wa China.

  • Russia yakaribisha mpango wa China wa amani na Ukraine

    Russia yakaribisha mpango wa China wa amani na Ukraine

    Apr 21, 2023 22:10

    Russia imeunga mkono mpango wa vipengee 12 uliopendekezwa na China kwa ajili ya kufikia amani kati yake na Ukraine.

  • Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Kuendelea utunishaji misuli na ubabe wa China mbele ya Marekani

    Apr 13, 2023 22:43

    Ijapokuwa China ilitangaza hivi majuzi kuwa mazoezi yake ya kijeshi ya pande zote iliyofanya kwa mfananisho wa kukizingira kisiwa cha Taiwan yamemalizika, lakini televisheni ya taifa ya nchi hiyo ilitangaza kuwa, manowari kadhaa za Beijing zitaendelea kutoa mafunzo yanayohitajika kuendana na uhalisia wa hali ya vita katika maji yanayoizunguka Taiwan ili kupima uwezo wake katika ngazi zote na ufanisi wa silaha na zana zake za kivita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS