-
China yatuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na Taiwan kwa siku ya pili baada ya mkutano wa Tsai-McCarthy
Apr 07, 2023 22:56Maafisa wa Taiwan walisema jana Ijumaa kwamba, China imetuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na kisiwa hicho kwa siku ya pili, wakati mvutano ukiendelea kutokota kati ya Beijing na kisiwa hicho kinachojitawala kufuatia mkutano uliofanyika kati ya Rais Tsai Ing-wen wa kisiwa hicho na Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy.
-
Ombi la Ufaransa na Marekani kwa China kuitaka iwe msuluhishi katika vita vya Ukraine
Apr 07, 2023 04:49Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa siku ya Jumatano aliwasili Beijing kwa ziara ya siku tatu nchini China. Ziara hiyo ni ya kwanza kufanywa na Macron nchini China tangu mwaka 2019. Rais huyo wa Ufaransa jana alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Xi Jinping.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 01, 2023 22:53Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
China: Luteka ya pamoja na Iran, Russia imeimarisha ushirikiano wa pande tatu
Mar 30, 2023 22:46China imepongeza kufanyika kwa mafanikio hivi karibuni mazoezi ya pamoja ya kijeshi baina ya nchi hiyo, Iran na Russia katika Bahari ya Oman na kueleza kuwa, luteka hiyo imeimarisha ushirikiano na urafiki wa pande tatu katika usalama wa baharini.
-
Ripoti ya China kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Marekani
Mar 30, 2023 06:18China imetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika mwaka uliopita wa 2022.
-
China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US
Mar 29, 2023 22:45China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua ya kujibu mapigo' iwapo Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen atakutana na Spika wa Kongresi ya Marekani, Kevin McCarthy katika safari yake inayotazamiwa kufanyika karibuni.
-
Ripoti ya China: Hali ya haki za binadamu Marekani 2022 ilizidi kuwa mbaya
Mar 29, 2023 03:40China imetoa ripoti yake kuhusu hali ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani katika mwaka uliopita wa 2022.
-
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia
Mar 26, 2023 03:39Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameeleza hofu na wasi wasi alionao juu ya muungano unaoweza kuanzishwa kati ya Iran, Saudi Arabia, China na Russia.
-
China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan
Mar 23, 2023 03:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelalamikia vikali safari ya Bettina Stark-Wattsinger, Waziri wa Elimu wa Ujerumani katika Kisiwa cha Taiwan na kusisitiza kuwa inapinga safari rasmi ya waziri huyo katika kisiwa hicho kinachomilikiwa na serikali ya Beijing.
-
Juhudi za China za kumaliza mgogoro wa Ukraine
Mar 21, 2023 03:22Rais Xi Jinping wa China, amesema kuwa mpango wa nchi yake wa kutatua mzozo wa Ukraine unaakisi maoni ya ulimwengu, na kuwa vipengee 12 vya mpango huo vitaondoa kabisa taathira hasi za mgogoro huo.