-
China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran
Nov 03, 2022 22:52China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.
-
Kubakia Xi Jinping kama mkuu wa chama tawala cha China
Oct 24, 2022 07:50Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimemchagua Xi Jinping kuendelea kuwa katibu wake mkuu kwa muhula wa tatu katika kikao kilichomalizika Jumamosi na hivyo kumuidhinisha kuendelea kuwa rais wa China.
-
China yapinga vikwazo haramu na vya upande mmoja vya EU dhidi ya Iran
Oct 24, 2022 00:31China imepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ilivyovitaja kuwa haramu na vya upande mmoja.
-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 07:41Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Sisitizo la Rais wa China la kupinga mabavu na hatua za kupenda kujitanua
Oct 17, 2022 22:40Rais wa China amesisitiza katika hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Chama tawala cha Kikomonisti cha nchi hiyo kwamba nchi yake kamwe haina lengo la kutekeleza hatua za kibeberu na kupenda kujitanua kimataifa.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga
Oct 01, 2022 08:35Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.
-
Jumamosi, tarehe Mosi Oktoba, 2022
Oct 01, 2022 00:38Leo ni Jumamosi tarehe 4 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1444 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Oktoba 2022 Miladia.
-
Russia na China zinataka kuachiliwa fedha za Afghanistan zilizozuiwa
Sep 29, 2022 04:23Wawakilishi wa Russia na China wametaka kuachiwa huru fedha zote za Afghanistan zilizozuiwa. Wamebainisha hayo katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Ukosoaji wa China kwa vikwazo vya Marekani vinavyosababisha masaibu kwa nusu ya watu wote duniani
Sep 28, 2022 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China imeikosoa Marekani kwa kutekeleza sera ya vikwazo na kusababisha matatizo na masaibu kwa nusu ya watu wote duniani.
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 16, 2022 20:53Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.