-
Magharibi yahaha kukabiliana na makombora ya "Hypersonic" ya China na Russia
Jul 25, 2022 21:59Mashirika ya silaha ya Uingereza na Marekani hivi sasa yanahaha kuongeza nguvu zao za kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na makombora yanayokwenda kwa kasi ya ajabu maarufu kwa jina la makombora ya hypersonic, ya Russia na China.
-
Kwa mara nyingine China yataka Syria iondolewe vikwazo
Jul 25, 2022 21:57Naibu mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba kuna wajibu wa kuondolewa haraka vikwazo ilivyowekewa Syria kwani vikwazo hivyo vinakwamisha juhudi za kupeleka misaada ya kibinadamu nchini humo.
-
China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington
Jul 25, 2022 07:01Ziara iliyopangwa kufanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani na misaada ya silaha Washington kwa Taiwan vimezidisha hali ya wasiwasi katika Bahari ya China.
-
Onyo la China kwa Marekani iwapo Spika Pelosi atazuru Taiwan
Jul 19, 2022 21:49China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua za nguvu' iwapo Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi atafanya safari ya kuitembelea Taiwan mwezi ujao wa Agosti.
-
China na Marekani zatunishiana misuli katika maji ya Visiwa vya Paracel
Jul 13, 2022 04:55Jeshi la Wanamaji la China limeitimua manowari ya makombora ya Marekani ya USS Benfold iliyoingia bila kibali kwenye eneo la mpaka wa majini wa nchi hiyo katika Bahari ya China Kusini.
-
China yajibu mapigo kwa hati ya mkakati mpya wa NATO dhidi yake
Jul 01, 2022 03:33China imekosoa hati ya mkakati na stratejia mpya ya Muungano wa Kijeshi wa NATO na kueleza kwamba muungano huo ni changamoto ya kimfumo kwa usalama na uthabiti wa dunia.
-
China yaitaka Marekani kurekebisha makosa yake mkabala wa Iran
Jun 30, 2022 09:05China imeitaka Marekani irekebishe makosa yake katika mienendo yake dhidi ya Iran.
-
Juhudi za G7 za kukabiliana kiuchumi na China
Jun 28, 2022 21:48Viongozi wa mataifa saba yaliyoendelea kiviwanda, G7, wameafiki kuzindua mpango kabambe wa kuwekeza katika miundo msingi kwenye nchi zinazoendelea. Viongozi hao wametangaza kuwa, nchi za G7 zinakusudia kutenga dola bilioni 600 kwa ajili ya mpango huo ifikapo 2027.
-
China: Kuwepo kijeshi Marekani katika Ghuba ya Taiwan ni tishio kwa amani ya dunia
Jun 25, 2022 21:57Afisa mmoja wa jeshi la China amesema, kuruka ndege za kivita na za ugunduzi za Marekani katika anga ya Ghuba ya Taiwan ni kitendo cha kichochezi na tishio kwa amani ya dunia.
-
Raeisi: Iran ni mshirika endelevu wa BRICS katika nishati
Jun 24, 2022 23:51Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaweza kuwa mshirika endelevu wa kuunganisha nchi wanachama wa BRICS katika maeneo muhimu ya kupitisha nishati na masoko makubwa duniani kwa kuzingatia nafasi yake ya kipekee ya jiografia ya kisiasa na jiografia ya kiuchumi.