-
Harakati hatari za Marekani Mashariki mwa Asia
Jun 17, 2022 20:50China imeitaka Marekani ikomeshe harakati zake hatari na za kichochezi eneo la Asia Mashariki ilikiwa ni pamoja na harakati zake za kijasusi.
-
Kamishna wa UN wa Haki za Binadamu aitaka China ipitie upya sera zake dhidi ya ugaidi
May 29, 2022 07:41Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka China kupitia upya sera zake za kupambana na ugaidi ili kuhakikisha zinazingatia viwango vya kimataifa vya haki za binadamu.
-
China yawaasa viongozi wa Marekani wachunge kauli zao kuhusiana na Taiwan
May 24, 2022 02:48China imetoa jibu kali dhidi ya uingiliaji wa waziwazi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Beijing imewaasa viongozi wa Washington wachunge kauli wanazotoa kuhusiana na Taiwan.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 02:41Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China
Apr 24, 2022 21:48Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.
-
Jumapili tarehe 24 Aprili 2022
Apr 23, 2022 21:52Leo ni Jumapili tarehe 22 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 24 mwaka 2022.
-
China yaonya kuhusu matokeo mabaya kimataifa ya vikwazo dhidi ya Russia
Apr 15, 2022 03:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameonya dhidi ya kuenea ulimwenguni taathira hasi za vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia. Zhao Lijian pia ameitaka Marekani kuchukua jukumu maalum la kuzingatia sheria za mfumo wa uchumi wa dunia na kudumisha uthabiti wake.
-
Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani
Apr 11, 2022 22:23Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.
-
China: Marekani inatesa wafungwa kwenye jela za siri, haina haki ya kuzinyooshea kidole nchi nyingine
Apr 09, 2022 23:45China imeituhumu Marekani kuwa inafanya mateso ya kutisha dhidi ya wafungwa katika jela za siri (black sites) katika nchi washirika, ikisisitiza kwamba Washington haina haki ya kuikosoa nchi nyingine yoyote kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
-
China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni
Apr 02, 2022 22:11Serikali ya China imelaani vikali uingiliaji wa Uingereza katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kuachana na fikra zake za kikoloni.