-
Jumapili tarehe 24 Aprili 2022
Apr 23, 2022 21:52Leo ni Jumapili tarehe 22 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 24 mwaka 2022.
-
China yaonya kuhusu matokeo mabaya kimataifa ya vikwazo dhidi ya Russia
Apr 15, 2022 03:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameonya dhidi ya kuenea ulimwenguni taathira hasi za vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia. Zhao Lijian pia ameitaka Marekani kuchukua jukumu maalum la kuzingatia sheria za mfumo wa uchumi wa dunia na kudumisha uthabiti wake.
-
Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani
Apr 11, 2022 22:23Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.
-
China: Marekani inatesa wafungwa kwenye jela za siri, haina haki ya kuzinyooshea kidole nchi nyingine
Apr 09, 2022 23:45China imeituhumu Marekani kuwa inafanya mateso ya kutisha dhidi ya wafungwa katika jela za siri (black sites) katika nchi washirika, ikisisitiza kwamba Washington haina haki ya kuikosoa nchi nyingine yoyote kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
-
China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni
Apr 02, 2022 22:11Serikali ya China imelaani vikali uingiliaji wa Uingereza katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kuachana na fikra zake za kikoloni.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu
Apr 02, 2022 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.
-
Sisitizo la China la kuzidishwa ushirikiano kati yake na Russia
Apr 01, 2022 22:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ushirikiano wa nchi yake na Russia hauna mpaka. Wang Wenbin amesisitiza kuwa ipo haja ya kuendelezwa ushirikiano kati ya China na Russia katika sekta mbalimbali ikiwemo masuala ya usalama.
-
China yaikosoa Magharibi kwa sera za kindumakuwili kuhusu haki za binadamu
Mar 29, 2022 22:29China imezishutumu nchi za Magharibi kwa kutumia sera za kindumakuwili kwa kushughulikia kwa wakati haki za binadamu za watu wanaokimbia vita vya Russia na Ukraine na kupuuza haki za wakimbizi kutoka nchi za Mashariki ya Kati, Afrika na Amerika ya Kusini.
-
China: NATO inaiingiza dunia katika Vita Baridi
Mar 26, 2022 22:01China imelionya Shirika la Jeshi la Nchi za Magharibi NATO dhidi ya kuitumbukiza dunia katika kipindi kipya cha Vita Baridi kupitia sera zake za usalama zilizopitwa na wakati.
-
China: Marekani na NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali
Mar 25, 2022 09:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Marekani na shirika la kijeshi la NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali duniani.