-
Trump atishia tena kuziwekea ushuru zaidi bidhaa za China
Oct 30, 2018 11:12Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kwamba iwapo hakutofikiwa mwafaka na China, basi ataziwekea ushuru mwingine wa mamia ya mabilioni ya Dola, bidhaa za China zinazoingizwa nchi hiyo.
-
Mwanamke ashambulia wanafunzi wa shule ya chekechea kwa kisu China
Oct 26, 2018 10:27Mwanamke aliyekuwa amejizatiti kwa kisu amevamia shule moja ya chekechea nchini China na kujeruhi watoto 14 miongoni mwa wanafunzi wa shule hiyo.
-
Malengo halisi ya Marekani ya kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati
Oct 23, 2018 09:46Tangazo la Marekani la kujiondoa kwenye mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati lililotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo limekabiliwa na radiamali nyingi hasi katika uga wa kimataifa.
-
Licha ya kiburi cha Trump; Marekani ina deni kubwa zaidi la China
Oct 17, 2018 23:47Wizara ya Hazina ya Marekani imesema kuwa, nchi inayoidai fedha nyingi zaidi Marekani ni China.
-
Tuhuma na maneno makali ya Trump dhidi ya China
Oct 16, 2018 03:58Uhusiano wa Marekani na China umekumbwa na misukosuko na panda shuka mbalimbali baada ya kuingia madarakani Donald Trump huko Marekani. Washington na Beijing zinahitilafiana katika masuala mengi ya kisiasa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kiistratijia.
-
Beijing yaitahadharisha Washington ijiepushe kutumia vibaya suala la haki za binadamu
Oct 13, 2018 21:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Washington itazame upya matatizo makubwa ya haki za binadamu yanayoisibu Marekani na wakati huo huo iache kutumia vibaya suala hilo kwa ajili ya kuingia masuala ya ndani ya nchi nyingine.
-
Trump awashambulia marafiki na maadui zake
Oct 11, 2018 23:11Tangu aingie madarakani nchini Marekani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekuwa akitekeleza siasa ambazo zimeifanya dunia kuwa uwanja wa malumbano na mivutano.
-
Jumatano tarehe 10 Oktoba 2018
Oct 09, 2018 21:54Leo ni Jumatano tarehe 30 Muharram 1440 Hijria sawa na tarehe 10 Oktoba 2018.
-
Bunge la Ulaya lataka kusitishwa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa Uighur, China
Oct 05, 2018 01:03Wawakilishi wa Bunge la Ulaya wamelaani kamatakamata kubwa ya Waislamu wa jimbo la Xinjiang huko kaskazini mwa China na kutoa wito wa kusitishwa ukandamizaji wa Waislamu hao wa jamii ya Uighur (Uyghurs).
-
China: Hatuna azma ya 'kuikoloni' Zimbabwe licha ya kushindwa kutulipa madeni yetu
Oct 02, 2018 04:49China imesema Beijing haina nia wala mpango wa kunyakua na kudhibiti mali za Zimbabwe licha ya serikali ya Harare kushindwa kuilipa nchi hiyo malimbikizo ya madeni yake.