-
Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo
Sep 30, 2018 04:04Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.
-
Marekani kuiuzia Taiwan silaha za kijeshi za dola milioni 330
Sep 25, 2018 04:41Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha za kijeshi kwa Taiwan yenye thamani ya dola milioni 330.
-
Amnesty: China imetenganisha malaki ya familia za Waislamu
Sep 24, 2018 10:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International sambamba na kulaani ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama dhidi ya Waislamu nchini China, limesema kuwa mamia ya maelfu ya familia za Waislamu nchini humo zimelazimika kutengana na jamaa zao kutokana na dhulma hizo za serikali.
-
Kufutwa mazungumzo ya kijeshi kati ya Marekani na China
Sep 23, 2018 23:28Wizara ya Ulinzi ya China na katika jibu lake dhidi ya siasa za mabavu na kupenda kujitanua za Marekani, imefuta mazungumzo ya kijeshi na nchi hiyo baada ya kufuta mazungumzo ya kibiashara baina ya pande hizo mbili.
-
Kimbunga Mangkhut chaingia China, baada ya kuua 60 Ufilipino
Sep 16, 2018 10:17Kimbunga kikali cha Mangkhut kimewasili nchini China baada ya kuua watu 60 kaskazini mwa Ufilipino.
-
Mawaziri wa G20 wataka mabadiliko WTO kukabiliana na uhasama wa Marekani
Sep 15, 2018 20:43Mawaziri wa biashara na uwekezaji wa nchi tajiri duniani za kundi la G20 wamesema kuna haja ya kufanyika mabadiliko ya dharura katika Shirika la Biashara Duniani WTO kukabiliana na vita vya kibiasahra vya Marekani dhidi ya China.
-
Waislamu nchini India waandamana kuwatetea Waislamu wa China
Sep 15, 2018 09:30Waislamu nchini India wamefanya maandamano kuiunga mkono jamii ya Waislamu wa Uighur wanaokandamizwa katika mkoa wa Xinjiang nchini China.
-
Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran
Sep 11, 2018 03:02Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani inatekeleza sera zake dhidi ya Iran kwa kutumia mabavu, ubabe na vitisho.
-
Jumapili, Septemba 9, 2018
Sep 09, 2018 03:44Leo ni Jumapili tarehe 28 Mfunguo Tatu, Dhul-Hijjah 1439 Hijiria, sawa na tarehe tisa Septemba mwaka 2018 Miladia.
-
Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi
Sep 09, 2018 03:00Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea China kufuatia mwaliko wa waziri mwenzake wa nchi hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi baina ya China na Iran.