-
Pentagon: China inajitayarisha kuishambulia Marekani
Aug 17, 2018 00:11Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon imesema kuwa jeshi la China limepanua operesheni za ndege zake za kivita katika miaka ya hivi karibuni na kwamba kuna uwezekano kwamba zinafanya mazoezi ya kufanya mashambulizi dhidi ya Marekani na waitifaki wake.
-
Jeshi la China laionya Marekani kutokana na siasa zake za kupenda uhasama
Aug 15, 2018 03:05Jeshi la China sambamba na kutuma malalamiko yake kwa Marekani kutokana na siasa za Washington katika kuimarisha uhusiano wa kijeshi na eneo la Taiwan, limeionya nchi hiyo juu ya ukiukaji wake msingi wa China Moja.
-
China: Hatutasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuihusu Iran
Aug 14, 2018 10:31Mkuu wa Shirikisho la Sekta ya Mafuta na Bidhaa za Kemikali nchini China amesema kuwa, Beijing haina nia ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza vikwazo vya upande mmoja vya Washington dhidi ya Iran.
-
China: Tofauti za Washington na Beijing zinatokana na kusambaratika ubeberu wa Marekani
Aug 10, 2018 23:34Serikali ya China imesema kuwa, migogoro inayozidi kuongezeka katika uga wa kibiashara kati yake na Marekani, inatokana na kusambaratika ubeberu wa Marekani duniani.
-
Maelfu ya Waislamu China waandamana kupinga kubomolewa msikiti
Aug 10, 2018 12:15Maelfu ya Waislamu nchini China wamefanya maandamano kupinga hatua ya serikali ya kutaka kubomolewa msikiti kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini
Aug 05, 2018 20:48Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kuwa, Beijing itaisaidia Korea kaskazini katika kukuza uchumi na ustawi wa nchi hiyo.
-
China yaionya tena Marekani, yasema haitaipigia magoti Washington
Jul 28, 2018 07:02Wizara ya Biashara ya China imetoa taarifa ambayo sambamba na kuwaonya viongozi wa Marekani imesema kuwa, nchi hiyo haitaipigia magoti Marekani katika vita vya kibiashara.
-
Jumamosi 28 Julai 2018
Jul 27, 2018 22:16Leo ni Jumamosi tarehe 14 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1439 Hijria mwafaka na tarehe 28 Julai 2018 Miladia.
-
Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani
Jul 27, 2018 02:07Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi zaidi katika utawala wa Donald Trump zimekuwa kero kwa aghlabu ya mataifa yote huru na yanayojitawala duniani.
-
China yasisitiza kukabiliana na vitisho vya kibiashara vya Marekani
Jul 21, 2018 22:56Wizara ya Mambo ya Nje ya China na katika radiamali yake juu ya vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na kuziwekea ushuru wa zaidi ya Dola bilioni 500 bidhaa za China zinazoingizwa nchi yake, imesema kuwa Beijing haitosalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho vya Washington.