-
China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini
Jul 20, 2018 03:48Duru za habari zimearifu kwamba China na Russia zimetupilia mbali pendekezo la Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji mafuta kwa Korea Kaskazini.
-
China yaikosoa Marekani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani
Jul 19, 2018 22:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameikosoa Markeani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani.
-
Kamal Kharrazi: Ulimwengu usimame na kukabiliana na ubeberu wa Marekani
Jul 15, 2018 23:08Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa hili ni vya kidhulma na kuongeza kwamba, jamii ya kimataifa inapaswa kusimama kidete na kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati
Jul 14, 2018 09:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhidi ya tabia ya Marekani katika kipindi chote cha mazungumzo
Jul 08, 2018 21:59Baada ya Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuondoka mjini Pyongyang kuelekea Japan, serikali ya Korea Kaskazini imekosoa siasa ambazo zimekuwa zikitekelezwa na Washington katika kipindi chote cha mazungumzo ya waziri huyo na viongozi wa Korea Kaskazini.
-
China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Marekani, kisa usalama
Jul 03, 2018 11:03China imetoa tahadhari mpya kwa raia wake waliosafiri au wanaotaka kusafiri kwenda Marekani ikisema kuwa hakuna usalama wa umma nchini humo.
-
Vyombo vya habari China: Serikali ya Trump itafeli kwa Iran kama zilivyofeli serikali za kabla yake
Jul 02, 2018 03:05Vyombo mbalimbali vya habari nchini China vimeakisi hotuba ya Kiongoni wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliyoitoa katika mahafali ya kuhitimu maafisa wa jeshi katika Chuo Kikuu cha Imam Hussein (as).
-
Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar
Jul 01, 2018 03:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.
-
Tahadhari ya Beijing kwa Washington kuhusu athari mbaya za sera za kibiashara za White House
Jun 23, 2018 20:43Wizara ya Biashara ya China imetoa taarifa ikiitahadharisha Marekani kuhusu athari mbaya za sera za kibiashara za White House dhidi ya Beijing.
-
Kim Jong-un akutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing
Jun 19, 2018 09:31Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amefanya safari mjini Beijing, mji mkuu wa China na kukutana na Rais Xi Jinping wa nchi hiyo sambamba na kuzungumzia masuala ya kuinua kiwango cha mahusiano ya nchi mbili.