-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 30 na sauti
Apr 03, 2018 12:57Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 30 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Hatua za chuki dhidi ya Waislamu zazidi kushika kasi Italia, Waislamu wajawa na khofu
Mar 29, 2018 04:34Duru za habari nchini Italia zimeripoti juu ya ongezeko la mashambulizi yanayosukumwa na chuki dhidi ya dini ya Uislamu nchini humo.
-
Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza
Mar 12, 2018 02:30Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.
-
Wenye chuki dhidi ya Uislamu wachoma moto msikiti nchini Ujerumani
Mar 11, 2018 16:28Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa matukio ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu barani Ulaya, wavamizi wasiojulikana wameuteketeza moto msikiti mmoja katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 27 na sauti
Feb 18, 2018 16:26Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 27 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti
Feb 18, 2018 16:06Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Mpambe wa Trump mwenye chuki dhidi ya Waislamu ajiuzulu
Jan 19, 2018 14:09Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Marekani aliyeteuliwa na Rais Donald Trump amelazimika kujiuzulu baada ya kanali ya televisheni ya CNN kufichua kanda ya sauti, ambapo anasikika akitoa maneno ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 23 na sauti
Jan 11, 2018 10:41Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 23 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 22 na sauti
Jan 11, 2018 10:28Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 22 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 21 na sauti
Jan 11, 2018 10:10Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 21 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.