-
Wasiwasi wa Unicef kuhusu hali ya watoto wa Kiiraqi
Feb 12, 2018 10:58Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mtoto mmoja wa Kiiraqi kati ya wanne nchini humo anaishi katika hali ya umaskini na kwamba Wairaqi wengine milioni nne wanahitaji msaada ikiwa ni natija ya kujiri vita vya kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.
-
Russia: Ushahidi unathibitisha Marekani inahamisha magaidi wa Daesh na kuwapeleka Afghanistan
Feb 09, 2018 01:04Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rassia katika Masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Moscow ina ushahidi unaothibitisha kuwa, Marekani na Shirika la Kijeshi ya Nchi za Magharibi (NATO) zinahusika katika kuwahamisha magaidi wa Daesh kutoka Iraq na Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Iran: Syria itakombolewa karibuni hivi
Feb 08, 2018 03:48Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, baada ya kusafishwa kabisa magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) nchini Iraq, karibuni hivi dunia itashuhudia Syria nayo ikikombolewa kikamilifu.
-
Jeshi la SEPAH lapambana na magaidi magharibi mwa Iran, wanachama kadhaa wa DAESH watiwa nguvuni
Jan 27, 2018 13:30Kituo cha Najaf cha vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH (IRGC) kimetangaza kuwa askari wa kituo hicho wamepambana na magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH katika eneo la magharibi mwa nchi.
-
Shambulizi la 'ISIS' laua makumi ya watu nchini Mali
Jan 26, 2018 03:48Makumi ya watu wameripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi la bomu la kutegwa ardhini linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) nchini Mali.
-
Uchunguzi: Maelfu ya wanawake wanachama wa Daesh wako Libya
Jan 23, 2018 11:31Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimeripoti kuwa, maelfu ya wanawake wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh wako nchini Libya na kwamba 300 kati yao ni raia wa Tunisia.
-
Algeria: Genge la Daesh (ISIS) linapanga kufanya mashambulizi makali Afrika
Jan 18, 2018 11:08Gazeti la al-Khabar la Algeria limeandika kuwa, kundi hatari la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) linapanga kufanya operesheni kubwa za kigaidi katika nchi za Kiafrika.
-
Kuundwa kundi jipya la ISIS barani Afrika
Jan 16, 2018 01:06Baada ya kuangamizwa genge la wakufurishaji la Daesh (ISIS) katika nchi za Iraq na Syria, sasa magenge yenye misimamo mikali ya kigaidi yametangaza kuunda muungano mpya unaojulikana kwa jina la "Kundi la Daesh katika Jangwa la Sahara."
-
Boroujerdi: Afghanistan na Afrika walengwa wa baadaye wa Daesh
Jan 12, 2018 10:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameeleza kuwa magaidi wa kundi la Daesh sasa wameelekea nchini Afghanistan na watajipenyeza pia katika nchi za Kafrika kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
'Kuna uwezekano wa kuingia Ujerumaini zaidi ya watoto 100 waliofundishwa na Daesh'
Jan 08, 2018 12:32Duru za ndani ya bunge la Ujerumani zimefichua habari ya kuwepo uwezekano wa kuingia zaidi ya watoto 100 ambao wamefundishwa na makundi ya kigaidi na ukufurishaji hususan Daesh (ISIS) nchini Iraq na Syria.