Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh

    Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh

    Jan 17, 2017 03:38

    Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.

  • Mkuu wa OSCE: Maelfu ya raia wa nchi za Ulaya wamejiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Mkuu wa OSCE: Maelfu ya raia wa nchi za Ulaya wamejiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Jan 14, 2017 09:54

    Mwenyekiti wa Shirika la Usalama na Ushirikiano wa Ulaya (OSCE) amesema kuwa, karibu raia elfu kumi wa nchi za bara hilo wanashirikiana na kundi la kigaidi la Daesh katika nchi za Syria na Iraq.

  • Majengo kadhaa ya serikali mjini Mosul yakombolewa kikamilifu na jeshi la Iraq

    Majengo kadhaa ya serikali mjini Mosul yakombolewa kikamilifu na jeshi la Iraq

    Jan 13, 2017 11:14

    Jeshi la Iraq kwa kushirikiana na harakati ya kujitolea ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi limefanikiwa kukomboa majengo ya serikali ikiwemo ofisi ya gavana na makao makuu ya serikali mjini Mosul, mkoani Nainawa (Nineveh)

  • Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah

    Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah

    Jan 13, 2017 00:43

    Jeshi la Syria limetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mezzah ulioko magharibi mwa mji wa Damascus na kuutahadharisha utawala huo kuhusu taathira mbaya za shambulizi hilo.

  • Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq

    Jan 10, 2017 01:19

    Kamanda wa operesheni ya kukomboa mji wa Mosul uliokuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq amesema kuwa magaidi wasiopungua 200 wa kundi hilo wameangamizwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Iraq jana Jumatatu katika mji huo.

  • Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul

    Magaidi wa Daesh walipua daraja linalounganisha mji wa Mosul

    Jan 08, 2017 04:10

    Kamanda wa operesheni za kuukomboa mkoa wa Nainawa (Nineve) kaskazini mwa Iraq, amesema kuwa, genge la kigaidi na kitakfiri la Daesh, limeripua upande wa kulia wa daraja la Mto Tigris linalouonganisha mji wa Mosul na maeneo mengine.

  • Marekani: Tulianzisha ISIS ili kumpindua Bashar al Assad

    Marekani: Tulianzisha ISIS ili kumpindua Bashar al Assad

    Jan 07, 2017 12:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri kuwa lengo lao kuu la kuanzisha genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ni kuipindua serikali ya Rais Bashar al Assad wa Syria. Amesema, Washington iliruhusu kuanzishwa kundi la ISIS ili kufanikisha jambo hilo.

  • Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria

    Magaidi watwangana wenyewe kwa wenyewe Syria

    Jan 06, 2017 23:49

    Mapigano yamezuka baina ya magenge ya kigaidi ya ISIS (Daesh) na Jabhat al Nusra (Fat'h al Sham) katika kambi ya wakimbizi ya Yarmouk, kusini mwa Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Maji yamfika shingoni Abubakar al-Baghdadi, ateua warithi wake

    Maji yamfika shingoni Abubakar al-Baghdadi, ateua warithi wake

    Jan 05, 2017 12:40

    Kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) Ibrahim al-Samarrai, maarufu kama Abubakr al-Baghdadi ameteua watu watatu ambao wanatazamiwa kuchukua nafasi yake.

  • Magaidi 250 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa mji wa Mosul Iraq

    Magaidi 250 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa mji wa Mosul Iraq

    Jan 05, 2017 04:23

    Kamanda wa vikosi vya radiamali ya haraka vya Iraq jana usiku alitangaza habari ya kuangamziwa magaidi wa kundi la kitakfiri la Daesh wasiopungua 250 katika muda wa masaa 24 yaliyopita. Magaidi hao waliuawa katika oparesheni ya kuyakomboa maeneo ya mashariki mwa mji wa Mosul.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS