-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 10:21Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Mamia ya matakfiri wanaorejea Tunisia wakamatwa
Dec 31, 2016 03:57Msemaji wa serikali ya Tunisia ametangaza habari ya kukamatwa mamia ya matakfiri wanaorejea nchini humo kutoka eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kundi la Daesh limetishia tena kuishambulia Russia
Dec 21, 2016 10:59Kundi la kigaidi la Daesh limetuma ujumbe na kutishia kuzishambulia balozi za Russia kote ulimwenguni.
-
Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia
Dec 15, 2016 00:52Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema serikali za nchi za Magharibi zinawapa himaya na kuwakingia kifua magaidi wanaofanya jinai nchini humo na wala hazijali hali ya raia wa kawaida wa nchi hiyo.
-
Daesh wazidi kupata pigo Iraq, watega mabomu ndani ya Qur'ani karibu na Mosul
Dec 07, 2016 00:26Wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) wameanza tena kutega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu na kuziacha mabarabarani na nje ya majumba katika kijiji cha Kanous, karibu na mji wa Mosul nchini Iraq.
-
Jumatano 07 Disemba, 2016
Dec 07, 2016 00:24Leo ni Jumatano tarehe 7 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 7, 2016.
-
Viongozi wa kundi la Daesh watoroka mji wa Mosul
Dec 06, 2016 04:14Vyombo vya kuaminika katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq vimeripoti kuwa, makamanda wa kundi la Daesh akiwemo kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakar al Baghdadi, wameukimbia mji wa Mosul na kuelekea katika maeneo ya mpaka wa Iraq na Syria.
-
Jeshi la serikali Libya ladhibiti kikamilifu mji wa Sirte
Dec 06, 2016 00:07Vikosi vya jeshi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya vinaudhibiti kikamilifu mji wa Sirte kaskazini mwa Libya.
-
Makumi ya raia waokolewa kutoka mikononi mwa magaidi nchini Libya
Dec 04, 2016 03:57Habari kutoka nchini Libya zinasema kuwa, jeshi la serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo limefanikiwa kuwaokoa makumi ya raia waliokuwa wametekwa nyara na genge la kigaidi na la wakufurishaji la Daesh mjini Sirte.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Ushindi dhidi ya DAESH unakaribia
Dec 03, 2016 04:21Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesema, kutokana na kusonga mbele vikosi vya pamoja vya nchi hiyo katika pande zote za medani ya vita kwa ajili ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwenye makucha ya kundi la kigaidi la kitakfiri na Daesh, ushindi wa jeshi la nchi hiyo uko karibu mno kupatikana.