-
Mfadhili mkuu wa kifedha wa Daesh atiwa mbaroni mkoani Diyala, Iraq
Feb 20, 2021 04:35Idara ya Intelijinsia ya Jeshi la Iraq imetangaza habari ya kutiwa mbaroni mfadhili mkuu wa kifedha wa kundi la Daesh mkoani Diyala mashariki mwa nchi hiyo.
-
Vita ya Maʼrib, muungano wa Saudi Arabia na Daesh na jitihada za kukimbia kinamasi cha Yemen
Feb 19, 2021 23:25Sambamba na kuendelea kusonga mbele wapiganaji wa makundi ya kujitolea ya Yemen kuelekea Maʼrib, Saudi Arabia imeamua kutuma askari wa ziada nchini Yemen na kutumia wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh huku nchi za Kiarabi zikifanya juhudi kubwa za kidiplomasia za kuzuia fedheha na kushindwa Riyadh na waitifaki wake katika kinamasi cha Yemen.
-
DAESH (ISIS) yakiri kuwa inapigana bega kwa bega na Saudia katika vita dhidi ya Yemen
Feb 18, 2021 22:53Kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) limetangaza kuwa linashiriki katika operesheni ya kijeshi na vita dhidi ya harakati ya Ansarullah ya Yemen katika eneo la Ma'rib.
-
Tishio la kurejea upya kundi la Daesh huko Iraq
Feb 08, 2021 22:58Harakati za kundi la Daesh na pia mapigano kati ya kundi la Hashdu Shaabi la Iraq na masalia ya kundi hilo la kigaidi yameongezeka nchini humo katika miezi ya karibuni.
-
Makao ya uongozi mpya wa Daesh huko al Anbar yasambaratishwa
Jan 28, 2021 22:36Wapiganaji wa Harakati ya Hashdu Shaabi ya Iraq wamesambaratisha makao ya uongozi wa kundi la kigaidi la Daesh katika eneo la jangwani katika mkoa wa al Anbar magharibi mwa nchi hiyo.
-
Sababu za kuongezeka mashambulio ya kigaidi ya ISIS nchini Iraq
Jan 25, 2021 20:08Jana Jumatatu, Januari 25, 2021, Brigedia Jenerali Yahya Rasoul, msemaji wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iraq alizungumzia ushahidi mpya uliopatikana kuhusu mashambulio ya hivi karibuni ya mjini Baghdad na kusema kuwa, hadi hivi sasa vikosi vya usalama vya Iraq vimefanikiwa kuzima majaribio kadhaa makubwa ya kujiripua kwa mabomu katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.
-
Shambulio la DAESH dhidi ya Al-Hashdu-Sha'abi lilifanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani
Jan 24, 2021 10:22Chombo kimoja cha habari nchini Iraq kimetangaza kuwa, shambulio la magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH (ISIS) dhidi ya wapiganaji wa Al-Hashdu-Sha'abi katika mkoa wa Salahuddin limefanywa kwa msukumo na msaada wa Marekani.
-
Madai ya Pakistan dhidi ya India ya kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh
Jan 12, 2021 23:30Waziri Mkuu wa Pakistan amedai kuwa, India imekuwa ikivuruga amani na usalama wa Pakistan kutokana na hatua zake za kuliunga mkono kundi la kigaidi la Daesh.
-
Katika Maktaba ya Qassim Suleimani (mwaka mmoja tangu kuuawa kwake shahidi)
Jan 02, 2021 05:29Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo.
-
Khatibzadeh: Jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Daesh
Dec 11, 2020 10:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma pongezi kwa serikali ya wananchi wa Iraq katika maadhimisho yao ya mwaka wa tatu tangu kusambaratishwa genge la kigaidi na ukufurishaji la Desh (ISIS) nchini humo na kuitaka jamii ya kimataifa iwe macho mbele ya kuenea upya fikra za Kidaesh duniani.