Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria

    Imarati na Israel zashirikiana kurejesha magaidi kusini mwa Syria

    Nov 13, 2020 01:36

    Vyombo vya usalama vimefichua kwamba, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umetuma ujumbe wa taasisi za upelelezi na ujasusi huko Israel kwa ajili ya kuchunguza mpango wa kurejesha makundi ya kigaidi katika miji ya kusini mwa Syria inayopakana na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni za Palestina.

  • Magaidi 5 wa Daesh watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin Iraq

    Magaidi 5 wa Daesh watiwa mbaroni katika mkoa wa Salahuddin Iraq

    Oct 20, 2020 12:11

    Askari jeshi wa Iraq wamewatia mbarono magaidi watano wa kundi la kitakfiri la Daesh katika oparesheni waliyoifanya katika mkoa wa Salahuddin nchini humo.

  • Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali

    Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali

    Oct 20, 2020 02:29

    Mwenendo wa kuenezwa chuki na kejeli dhidi ya itikadi za Kiislamu umekuwa ukiongezeka kwa kasi kubwa nchini Ufaransa katika miaka ya karibuni.

  • Viongozi wawili wakuu wa Daesh watiwa mbaroni kaskazini mwa Iraq

    Viongozi wawili wakuu wa Daesh watiwa mbaroni kaskazini mwa Iraq

    Oct 15, 2020 04:25

    Vyombo vya usalama vya Iraq vimetangaza taarifa ya kutiwa mbaroni makamanda wawili wakuu wa kundi la kigaidi la Daesh katika mikoa ya Kirkuk na Salahuddin.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kundi la kigaidi la DAESH linajiimarisha upya kijeshi nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq: Kundi la kigaidi la DAESH linajiimarisha upya kijeshi nchini

    Sep 20, 2020 07:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq ametahadharisha kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) linajizatiti na kujiimarisha upya kijeshi ndani ya nchi hiyo.

  • Mufti wa kundi la kigaidi la Daesh atiwa mbaroni Kirkuk, Iraq

    Mufti wa kundi la kigaidi la Daesh atiwa mbaroni Kirkuk, Iraq

    Sep 10, 2020 01:15

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia mbaroni Mufti wa kundi la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Jinai za Daesh zaongezeka katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani na washirika wake, mpaka wa Iraq na Syria

    Jinai za Daesh zaongezeka katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani na washirika wake, mpaka wa Iraq na Syria

    Aug 04, 2020 06:48

    Kituo kinachojiita Wasimamizi wa Haki za Binadamu nchini Syria kimetangaza kuwa kumeshuhudiwa ongezeko la uhalifu na jinai za kundi la Daesh katika maeneo yanayodhibitiwa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani karibu na mpaka wa Syria na Iraq.

  • Rais wa Iraq asisitiza umuhimu wa kuhukumiwa waliohusika na kutekwa mji wa Mosul

    Rais wa Iraq asisitiza umuhimu wa kuhukumiwa waliohusika na kutekwa mji wa Mosul

    Aug 04, 2020 01:31

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa maafisa waliowezesha mji wa Mosul utekwe na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh wanapaswa kufikishwa mahakamani na kuhukumiwa.

  • Amnesty International yatahadharisha kuhusu hali ya watoto waliokombolewa kutoka kwa kundi la Daesh nchini Iraq

    Amnesty International yatahadharisha kuhusu hali ya watoto waliokombolewa kutoka kwa kundi la Daesh nchini Iraq

    Jul 31, 2020 07:44

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa karibu watoto elfu mbili waliokombolewa kutoka kwa wapiganaji wa kindi la kigaidi la Daesh wanaendelea kusumbuliwa na matatizo ya kimwili na kinafsi.

  • Nukta nne muhimu katika matamshi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq kuhusu uvamizi wa ISIS nchini humo

    Nukta nne muhimu katika matamshi ya Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq kuhusu uvamizi wa ISIS nchini humo

    Jul 04, 2020 02:37

    Nouri al Maliki, Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq amefanyiwa mahojiano maalumu na mtandao wa habari wa al Maluma na amezungumzia nukta nne muhimu zaidi kuhusu uvamizi wa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Iraq wa mwaka 2014.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS