-
Walimwengu wajibu ujuba wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA, Israel na Saudia zamuunga mkono Trump
May 09, 2018 03:27Umoja wa Ulaya, viongozi mbalimbali wa nchi za Ulaya, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na wengine wengi wametoa majibu makali dhidi ya hatua ya kijuba ya rais wa Marekani ya kupuuza maamuzi ya walimwengu na ya Umoja wa Mataifa na kutangaza kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA.
-
Bloomberg: Mashirika ya Boeing na Airbus ya Marekani yapata hasara kubwa kwa kujitoa Trump katika JCPOA
May 09, 2018 03:21Mashirika mawili makubwa ya kutengeneza ndege ya Boeing na Airbus ya nchini Marekani yatapata hasara kubwa ya dola bilioni 40 baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Wakili wa Marekani: Nyaraka za kashfa ya ngono zitamfanya Trump alazimike kujiuzulu
May 06, 2018 22:29Wakili wa muigizaji mmoja wa filamu za ngono nchini Marekani ambaye amedai kuwa aliwahi huko nyuma kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rais wa nchi hiyo amesema, kuwekwa hadharani nyaraka za sakata hilo kutamfanya Trump alazimike kujiuzulu.
-
Matamshi ya Trump yaamsha hasira za wananchi na viongozi wa Ufaransa na Uingereza
May 06, 2018 12:07Matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Ufaransa na Uingereza yameamsha hasira za wananchi na viongozi wa nchi hizo.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Trump na utawala wa Kizayuni
May 06, 2018 03:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa wananchi wa Iran wako pamoja dhidi ya Rais wa Marekani na utawala wa Kizayuni na kutilia mkazo kuwa wananchi wa Iran hawapendi vita, lakini wanajilinda na kujitetea kwa dhati.
-
Indhari ya Russia kuhusu kufutwa makubaliano ya JCPOA na taathira zake mbaya
May 05, 2018 07:39Serikali ya Russia imetoa taarifa ikisisitiza kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni utaratibu ulio na mlingano weenye manufaa ya pande zote na kutahadharisha kuwa kuvunjwa makubaliano hayo kutakuwa kwa madhara. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Russia, kuvurugwa mlingano unaolegalega wa kimaslahi ndani ya makubaliano ya JCPOA kutakuwa na taathira kuu kwa usalama wa kimataifa na muundo unaopiga marufuku uenezaji wa silaha za nyuklia.
-
Kuna uwezekano wa Trump kufikishwa mahakamani ili kusailiwa
May 02, 2018 03:14Gazeti la Washington Post linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa kuna uwezekano rais wa nchi hiyo Donald Trump akatakiwa afike mahakamani ili kusailiwa kuhusiana na kadhia ya kuingilia Russia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwaka 2016.
-
Kupuuza Mogherini na Putin mchezo wa kitoto wa Benjamin Netanyahu
May 01, 2018 07:37Ikulu ya Russia Kremlin imetangaza kuwa, Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Benjamin Netanyahuu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Meya wa London: Trump inabidi aombe radhi rasmi
Apr 29, 2018 23:36Meya wa jiji la London Sadiq Khan amemtaka Rais Donald Trump wa Marekani atoe tamko rasmi la kuomba radhi.
-
Saeb Erekat: Hatutoshiriki katika mpango wa mapatano utakaopendekezwa na Trump
Apr 29, 2018 22:10Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) ametangaza kuwa, Wapalestina hawatashiriki katika mpango wowote ule wa mapatano utakaopendekezwa na rais wa Marekani, Donald Trump.